mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,656
Hiyo ni histolia toka Nchi ya Rwanda ianze utawala ilikua hajapatikana Waziri Muislamu hivyo kuzungumzia hilo wala sio udini tatizo unalo wewe kuwa ukitajwa tu uislamu huwa unaumwa na husda kutaka watu waelewe uelewa wako hii siyo sawa badilika MkuuWasalaam,
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,
Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,
Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.
Kuna watu wamekutafuta sana kwenye uzi wa Ramadhani Dau.Hapo ubaguzi upo wapi kwani uongo mbona hivyo vitu vya kawaida tu.
Wasalaam,
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,
Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,
Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.
Hawa jamaa wakisikia tu neno Uislamu vifundoni mwao huwakaa vitu na hii yote inatokana na chuki zao dhidi ya uislamuhiyo ni historia, hata kule Marekani kuna mtu mmoja aliapa kwa Qur'an kwa mara ya kwanza na ilikuwa ni hot story CNN
Post za kidato cha tano zitoke basi ili watoto waende mashuleniWasalaam,
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,
Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,
Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.
Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari