AZAM Sports 3 HD

Tatizo la Sony wanauza na jina la brand yao wanabana sana kwenye upande wa bei ila quality wapo mbali sana ila ukitaka kubana kidogo matumizi TCL na Hisense ndio better options tena kama TCL hata Marekani anauza sana kwa sababu ya bei kuwa chini

TCL hauzi tu kwa sababu bei ipo chini, bali aliponunua haki za Hitachi ni kama alipandisha kujulikana kwa bidhaa zake...
 
Aljazeera anakurushia kitu kisicho Hd sembuse clouds ? Pengine upewe abc za vigezo hivo mzee,mpka sasa ni Maisha magc bongo Hd na hizo azam basi

Usidanganye umma mkuu, Aljazeera wana channels aina mbili za HD na Standard 4:3. Kagua kwenye satellites wanazozitumia kurusha mawimbi utaziona.

Sema hivi ving'amuzi vya kibongo vinachagua feed ya standard ya aljazeera badala ya ile feed ya HD kwa sababu maalum.

BBC wana HD
Sky News HD
CNN International HD
CCTV HD
 
Back
Top Bottom