Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

Mnatumwa kuitangaza hiyo TV kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza mtazamaji ndiye anayeamua TV bora kwake
 
unatumia tv ya chogo unategemea nini?
 
Mkuu acha chuki za wazi, azam wamefanya uwekezaji mkubwa zaid na ulio bora zaidi kuliko kituo chochote kile cha tv tanzania,hata rangi yao na resolution ni the best kuliko hao wengine na hata studio zao ni the best,taarifa zao ni za kina na zenye uchambuzi wenye weledi,kwa upande wangu nadhani ukiwa na hofu ya Mungu ukasema ukweli kabisa usio acha shaka yoyote basi wape azam haki yao kwa kusema ukwel kwamba kwa tanzania they are the best.
 
Juzi hizo maada zilikuwa mbili wakachangia leo imerudia tena inatufanya tujiulize maswali kuna nini?
Apana mkuu apo ndoujue kuna kitu ndani yake
Kizuri kinsjiuza mkuu naukifatilia nikweli ili lisemwalo lipo
 
Kweli mkuu wapewe haki yao
 
Tv yako mbovu mkuu au ya zamani sana!
Azam wana rangi mbaya??
 
Nadhani tatizo ni TV yako..boresha Azam wako vizuri
 
Ukishaangalia habari Azam 2 huwezi rudi station nyingine kwa muda huo...Clouds wanajitahd ..hv kuna Chanel yenye Resolution mbaya kama TBC1..sio siri wana kazi ya kubwa ya kufanya
 
Utakuwa unatumia AV cables wewe. Unganisha HD cable u enjoy.
 
Wewe ndio TV yako mbaya nenda katafute TV ya ukweli utawakubali tu jamaa. Watu wa mikoani bado wanaangalia sana ITV. Azam wapi Level ya Mbali sana.
 
ITV imekuwa kama Liverpool bado inajivunia vikombe vingi na ukongwe, lakini Man City sasa ni timu bora kuliko Liverpool kwa kila kitu labda ushangiliaji wa mashabiki tu wa Liverpool ndio wako juu.
 
Daa,, nilikuwa sijawahi kuangalia Azam News ndo leo nimebahatika kuangalia haya marudio ya saa 5 usiku,, kwa ufupi wako juu! Utafikri unaangalia TV za majuu!! ITV na TBC wajitafakari sana!! Ila nimepatwa mshtuko mmoja wa hatari, ilikuwaje Fatuma Almasi Nyangasa akawa mweupe hivyo? Au malipo mazuri ama maji mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…