Azam ndiyo mnatupandishia vifurushi kwa hizi boxing za walevi wa chang'aa!

Sijui sana boxing ila nadhan hapa wanakosea. Huyu Mandonga haijapita wiki sasa alipigana Kenya akapigwa na Peter Wanyonyi.

Ilifaa asubiri kidogo au ange skip lile pambano la Kenya. Sawa analipwa lakini taratibu zikoje? Afya yake je?
Njaa mbaya.
 
Huu mchezo ndio naonaga una washabiki wengi Bongo baada ya “the beautiful game of football” ila hauna mamlaka zenye sheria za kuzingatia mambo kama haya Tanzania, sometime namuelewaga Hassan Mwakinyo kwenye hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom