Azam na 'football optimists' wetu.

Azam na 'football optimists' wetu.

Said Bakhresa ndio mfano wa kuigwa kwa ku-invest hela yake kwa Timu ya AZAM

Sawa Mkuu sisi binadamu kila mmoja na uelewa wake....Kila kitu kina nafasi yake na wakati wake,pahala husika atasifiwa Said Bahkresa na inapohusika Azam basi tutataja Azam bila kumtaja Said Bakhresa.
 
wangefungwa ungeandika haya? mia

Hadi sasa hakuna jipya alilolifanya Azam, misifa tu! Wachezea Libolo walishakatisha hadi fainali ya kombe la CAF na walishacheza super 8 Champion League. Wakali wa Jangwani walishapepea hadi kuwa timu ya 1 TZ kucheza 8 bora kombe la Klabu bingwa Afrika, mnakumbuka matokeo haya; Yanga 6-1 Coffee (Ethiopia)? Sasa jipya liko wapi hapo Azam?
 
timu ya juzi kucheza 16 bora lingine nini tena unahitaji makoye..
 
Sare ya juzi na Simba na mashabiki wa Yanga kuishangilia Simba ni kuwakumbusha viongozi wa Azam FC kuwa hawa ni damudamu. Inatakiwa wajiepushe na virusi hivi ili wanyakue ubingwa wa nchi vinginevo watabakia kuwa wa PILI miaka yote.
 
Sawa Mkuu sisi binadamu kila mmoja na uelewa wake....Kila kitu kina nafasi yake na wakati wake,pahala husika atasifiwa Said Bahkresa na inapohusika Azam basi tutataja Azam bila kumtaja Said Bakhresa.
Mie nilitegemea mzee Mengi angekuwa mfano kwa kuanzisha klabu ya soka baada ya kutofanikiwa pale Yanga, lakini yaonesha hakuwa mpenda soka haswa.
 
Back
Top Bottom