Azam na 'football optimists' wetu.

Azam na 'football optimists' wetu.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi vimeenea mpaka serikalini sembuse TFF!

Nakumbuka nchi yetu ikipata uhuru palikuwa na timu maarufu ya Cosmopolitans, timu hiyo nadhani imekufa na vikaja vilabu mbadala kama Pamba SC ya Mwanza, Mseto SC ya Morogoro (hivi havikuhusiana ya U-simba/yanga) lakini vipo wapi baada ya kuingiliwa na virusi hivo?

Mkae mkifikiria kuwa mafanikio yenu hafapendwi na Simba wala Yanga na hawa jamaa huungana mara waonapo pana tishio la uhai wao.
 
Mbona wanaspoti mnakuwa wanafiki? Azam na Simba ni kama choo na kinyesi!
 
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi vimeenea mpaka serikalini sembuse TFF! Nakumbuka nchi yetu ikipata uhuru palikuwa na timu maarufu ya Cosmopolitans, timu hiyo nadhani imekufa na vikaja vilabu mbadala kama Pamba SC ya Mwanza, Mseto SC ya Morogoro (hivi havikuhusiana ya U-simba/yanga) lakini vipo wapi baada ya kuingiliwa na virusi hivo?
Mkae mkifikiria kuwa mafanikio yenu hafapendwi na Simba wala Yanga na hawa jamaa huungana mara waonapo pana tishio la uhai wao.
Naona kila mmoja anajifanya kuipaka azam mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa kwa kujifanya kuzikandia hizi timu kila mtu mjuaji na kutafuta sifa za kijinga...YANGA itaendelea kuwa yanga na SIMBA itaendelea kuwa simba hata iweje yupo wapi MANCITY na pesa sake na usajili wake wa kufa m2..mdau mmoja alisema ukistajabia ya AZAM utayaona ya MANCITY mtachonga sana ila mtatulia baadae
 
Napata hisia kuwa historia ya Azam inaweza kuishia kuwa tofauti na historia za Lipuli,Tukuyu Star,Mseto,Pamba,Mwadui,Reli,Balimi,Kariakoo Lindi,CDA,Mji mpwapwa,Nyota Korogwe na timu nyingine zilizowahi kutikisa anga ya mpira Tanzania. Kwa nini nasema hivyo? Jibu ni rahisi INFRASTRUCTURE ( miundo mbinu). Tofauti na vilabu vyote nilivyovitaja Azam wamewekeza kwenye miundo mbinu. Kumbuka wamiliki wa Bakhresa group they are shrewd business people,hawafanyi mambo ya kubahatisha na hawana historia ya kuchezea hela. They know what they are doing,usije shangaa siku moja wakauza mchezaji kwa dola milioni moja. Na kusema kweli this is the new African trend anatokea tajiri,anamiliki timu,anawekeza,timu inawika Africa na anaanza kuvuna hela.....mifano hai ni Libolo ya Angola na Tp Mazembe ya DRC. Enzi za community based teams kushamiri zinaanza kupotea,hata Kenya AFC Leopards wameunda study group ya kuangalia uwezekano wa kuuza hisa za club. Stay tuned mtaniambia.
Bravo Azam,kazeni buti,your future is bright.
 
Afadhali umewaleza wewe hawa wanazi wa hivi vilabu vikubwa vyenye miaka zaidi ya 50 tokea vianzishwe lakini
hawana hata uwanja wa maana. Azam si Pamba wala Tukuyu stars, wamejipanga na ni angalau timu pekee ambayo
inafanya mambo yake kwa mpangilio.

Mpira ni biashara na Timu ipo kwenye mikono ya Mfanyabiashara kwa maana ya Mfanyabiashara haswaa na si
Misheni Town au Tajiri wa ghafla anayetaka kuonyesha ana noti kiasi gani ili apate sifa.
 
Mtoa maada amejaribu kutahadahrisha kujihusisha na vilabu hivyo vikongwe!! @ Malinzi nikweli Azam wamewekeza, but what if technical bench ikaingiliwa na watu wenye hizo imani za Simba na Yanga?
kwa maneno mengine uajiri na usajili uzingatie hilo, tumeona mchezaji kama Ngasa, humud, nk jinsi walivyofanya as if wana ushirika na SSC.
nawatakia Azam mafanikio but kuwa na tahadhari na hivi vilabu ni muhimu
SP
 
Ni kweli mpira sasa ni biashara kubwa sana duniani,hebu jiulize Tp mazembe mwaka juzi walilipwa madola mamilioni mangapi kwa kucheza fainali ya kombe la dunia dhidi ya Intermilan?
 
Mtoa maada amejaribu kutahadahrisha kujihusisha na vilabu hivyo vikongwe!! @ Malinzi nikweli Azam wamewekeza, but what if technical bench ikaingiliwa na watu wenye hizo imani za Simba na Yanga?
kwa maneno mengine uajiri na usajili uzingatie hilo, tumeona mchezaji kama Ngasa, humud, nk jinsi walivyofanya as if wana ushirika na SSC.
nawatakia Azam mafanikio but kuwa na tahadhari na hivi vilabu ni muhimu
SP
The key word hapa ni CEO-chief executive officer. Ushauri wa bure kwa Azam ni kuwa ifike pahala waajiri a proper,well experienced CEO na asiwe mtu wa kubabaisha. Akisha ajiriwa apewe uhuru kamili wa kuendesha affairs za Azam,hamtasikia tena mauzauza kwenye usajili na Azam itakuwa mwendo mdundo. Kikubwa task ya kwanza ya huyu CEO iwe ni kuandaa mpango kazi-strategic plan ambayo ni realistic ikionyesha malengo,utelezaji wake,rasilimali watu inayotakiwa ,bajeti na vipimo vya utekelezaji-evaluation criteria.Yote yawezekana hasa katika mazingira ya utulivu kiuongozi na kiutawala yaliyopo Azam.
 
Hahaha mtoa mada amesema mpira wa tanzania umeingiliwa na virusi viwili vya Usimba na Uyanga na kwamba c tu TFF bali hata serikalini virusi hivyo vimeenea swali langu je kama virusi hivyo vipo TFF hadi serikalin vp kuhusu hapo azam kuanzia kwenye uongozi wa kampuni,uongozi wa timu yenyewe na hata benchi la ufundi la timu ya azam kwa ujumla...kama sijakosea nakumbuka hata Bahkresa mwenyewe ni mdau mkubwa wa simba, angalia hata jinsi wanavyo badilishana wachezaji ni wakimagumashi naweza sema
Wachezaji walioshindikana upande mmoja hupelekwa upande mwingine hata siku moja hutasikia wamefanya biashara au makubaliano ya kubadilishana wachezaji na Yanga mfano mzuri angalia sakata la ngasa kwenda Simba lilikuwa ni la kinguvunguvu au "lazima uende" pasipo mchezaji mwenyewe kuridhia na sasa nasikia wanataka kubadilishana wachezaji walioshindikana kwa utovu wa nidham kwa mwinyi kazimoto kwenda azam kuimarisha kiungo na erasto nyoni na mwenzake Aggrey miris kutua msimbazi kuimarisha ulizi/beki ya simba...halafu bado kuna wa2 wanajidanganya eti azam wajihadhari na Usimba na Uyanga wakati Azam yenyewe ni Simba damu...wacha tuone itakavyo kua
 
Hivi,wewe ndiye yule J.Malinzi aliyeng'olewa na TFF kihujuma?
na kama jibu ni ndio jee matarajio yako ktk Tanzania kisoka ni yapi endapo utarudishwa kugombea nafasi hiyo na kushinda uchaguzi?
unafikiri ni wapi utarekebisha ili kuendana na ushindani wa mpira duniani ikiwa ni pamoja na kuuza wachezaji nje japo kwa $2m?

Vp kuhusu soka la watoto?nazungumzia under 12?
Maana hapo ndipo tutawapata akina Messi wetu wa baadae.

Binafsi nina mtoto ana miaka 10 na nimemlea kimpira tangu akiwa na miaka 5 maana niliona dhahili kwamba anakipaji hicho,nampa huduma zote za msingi ikiwa ni pamoja na chakula bora ili kuujenga mwili wake vizuri,na sasa muonekano wake unaweza fikiri ni black american na pia/ana stamina ya kutosha katika mpira na anauwezo mzuri sana wa kupiga mashuti.
 
Mpira wetu unaharibiwa na mfumo mbovu wa Serikali yetu kwa ujumla wake.
Utapataje wachezaji wazuri kama hakuna mbinu bora ya kuzalisha na kukuza vipaji?
Wachezaji wanaochipukia wacheze wapi kama hakuna sehemu zilizotengwa mahususi kwa ajili ya michezo.
Je hao Simba na Yanga wapo kwenye michezo mingine kama riadha, masumbwi, kuogelea n.k?
Walichoonesha Azam ni njia ambayo inapaswa kuigwa na ni tamko kuwa hata kwetu Tanzania inawezekana.
 
Mkuu kwa kuongezea tu, soka letu pia limetekwa na opportunists. Ukitaka kutoka kisiasa basi wewe jitamvulishe Yanga au Simba. Kama unataka kusomeka kwenye anga za kibiashara ingia kwenye soka. Je, unataka kupiga pesa rahisi rahisi bila bugudha ya wakaguzi? Jaribu soka. Jamal Malinzi analijua hili. Muonja asali................
 
Last edited by a moderator:
Hivi,wewe ndiye yule J.Malinzi aliyeng'olewa na TFF kihujuma?
na kama jibu ni ndio jee matarajio yako ktk Tanzania kisoka ni yapi endapo utarudishwa kugombea nafasi hiyo na kushinda uchaguzi?
unafikiri ni wapi utarekebisha ili kuendana na ushindani wa mpira duniani ikiwa ni pamoja na kuuza wachezaji nje japo kwa $2m?

Vp kuhusu soka la watoto?nazungumzia under 12?
Maana hapo ndipo tutawapata akina Messi wetu wa baadae.

Binafsi nina mtoto ana miaka 10 na nimemlea kimpira tangu akiwa na miaka 5 maana niliona dhahili kwamba anakipaji hicho,nampa huduma zote za msingi ikiwa ni pamoja na chakula bora ili kuujenga mwili wake vizuri,na sasa muonekano wake unaweza fikiri ni black american na pia/ana stamina ya kutosha katika mpira na anauwezo mzuri sana wa kupiga mashuti.
Mkuu, hoja yangu haihusiani kabisa na mzee huyu!!!!!!!!!! Tafadhari sana anzisha 'topic' itakayomuhusu.
 
Hahaha mtoa mada amesema mpira wa tanzania umeingiliwa na virusi viwili vya Usimba na Uyanga na kwamba c tu TFF bali hata serikalini virusi hivyo vimeenea swali langu je kama virusi hivyo vipo TFF hadi serikalin vp kuhusu hapo azam kuanzia kwenye uongozi wa kampuni,uongozi wa timu yenyewe na hata benchi la ufundi la timu ya azam kwa ujumla...kama sijakosea nakumbuka hata Bahkresa mwenyewe ni mdau mkubwa wa simba, angalia hata jinsi wanavyo badilishana wachezaji ni wakimagumashi naweza sema
Wachezaji walioshindikana upande mmoja hupelekwa upande mwingine hata siku moja hutasikia wamefanya biashara au makubaliano ya kubadilishana wachezaji na Yanga mfano mzuri angalia sakata la ngasa kwenda Simba lilikuwa ni la kinguvunguvu au "lazima uende" pasipo mchezaji mwenyewe kuridhia na sasa nasikia wanataka kubadilishana wachezaji walioshindikana kwa utovu wa nidham kwa mwinyi kazimoto kwenda azam kuimarisha kiungo na erasto nyoni na mwenzake Aggrey miris kutua msimbazi kuimarisha ulizi/beki ya simba...halafu bado kuna wa2 wanajidanganya eti azam wajihadhari na Usimba na Uyanga wakati Azam yenyewe ni Simba damu...wacha tuone itakavyo kua
Umenigusa sawasawa, rais Kikwete aliliona hilo kama tunavoliona na akawaeleza mchana kweupe (japo yeye ni Yanga).
 
Hivi,wewe ndiye yule J.Malinzi aliyeng'olewa na TFF kihujuma?
na kama jibu ni ndio jee matarajio yako ktk Tanzania kisoka ni yapi endapo utarudishwa kugombea nafasi hiyo na kushinda uchaguzi?
unafikiri ni wapi utarekebisha ili kuendana na ushindani wa mpira duniani ikiwa ni pamoja na kuuza wachezaji nje japo kwa $2m?

Vp kuhusu soka la watoto?nazungumzia under 12?
Maana hapo ndipo tutawapata akina Messi wetu wa baadae.

Binafsi nina mtoto ana miaka 10 na nimemlea kimpira tangu akiwa na miaka 5 maana niliona dhahili kwamba anakipaji hicho,nampa huduma zote za msingi ikiwa ni pamoja na chakula bora ili kuujenga mwili wake vizuri,na sasa muonekano wake unaweza fikiri ni black american na pia/ana stamina ya kutosha katika mpira na anauwezo mzuri sana wa kupiga mashuti.
Mkuu CHAI CHUNGU nadhani uko kwenye jfmobile mode,naam ni mimi huyo huyo Malinzi ( verified user).
Uliyoyauliza yako kisera zaidi,kwa leo tuyaache.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa kuongezea tu, soka letu pia limetekwa na opportunists. Ukitaka kutoka kisiasa basi wewe jitamvulishe Yanga au Simba. Kama unataka kusomeka kwenye anga za kibiashara ingia kwenye soka. Je, unataka kupiga pesa rahisi rahisi bila bugudha ya wakaguzi? Jaribu soka. Jamal Malinzi analijua hili. Muonja asali................

Ndugu yangu Nyenyere bado tu uko kwenye kujadili 'personality' badala ya 'issue'? Well endelea jf ni uwanja huru.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom