kama unapendelea hvyo DSTV itakufaa snaNapenda mziki wa ulaya na documentary Kali na movie
SawaMkuu angalia uwezo wako na mahitaji yako huyo anaesema wanarudia vipindi inamaana ana muda mrefu wa kukaa tu sitaki kusemea nafsi ya mtu ila fuata kilicho bora yupo ataponda azam kwa mtazamo wake ila wanajitahidi kutoa makala na vipindi bora kulingana na dunia ukiona mtu analalamika basi haendi na mfumo wa dunia alafu mchunguze utamuona ni mbwa mimi nipo paleeeee