Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
ASAS kule Nduli Iringa anao ng'ombe kibao anafuga, na anakamua maziwa na kutengeneza products nyingi. Azam maziwa yake ni kweli anayatengeneza artificial kama wanavyosema watu mtaani? ng'ombe wake anafugia wapi, anakamua wapi hayo maziwa jamani?
NB: Lengo sio kumharibia biashara, nafikiri kama yuko humu ni nafasi yake kujisafisha ili kuondoa doubt kwasababu kusema kweli binafsi huwa napenda products zake, sasa nilipoambiwa na wenzangu kuwa maziwa ya Azam ni artificial nilisita kuendelea kuyanunua.
Najua kwa mfano juisi za maembe, anatumia maembe halisi, nanasi halisi na matunda mengine halisi (pamoja na kwamba mapera sijajua anachuma kwenye shamba gani?), ila maembe ni halisi.
Kwa wale wenye ufahamu, tuambieni azam maziwa yake anakamua wapi, au anaagiza uarabuni ya ngamia kama wanavyosema huku mitaani?