Azam Media wametumia Akili Kubwa sana kuanza na Yanga SC wakati Mkataba watakaouingia na Simba SC utakuwa ni Mnono zaidi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,877
Huku Watu wa Yanga SC wakidhani kuwa Mkataba wao waliouingia Jana na Azam Media ni mnono mpaka wanawacheka Simba SC kumbe wameula tu wa Chuya.

Taarifa za ndani kabisa ambazo msaka Habari ngumu na za Hatari GENTAMYCINE nimezipata zinasema kwamba Azam Media waliona waanze Kuingia Udhamini na Yanga SC kabla ya kuingia na Simba SC Wiki Mbili zijazo ambao utakuwa ni Maradufu Kimaslahi.

" Kaka GENTAMYCINE hivi unadhani Yanga SC wangeona Azam Media imeingia Mkataba na Simba SC wa Tsh Bilioni 90 au 100 na wao wangeingia nao kama ule wa jana wa Tsh Bilioni 41 wangekubali? Walichofanya Azam Media ni kucheza na Akili za Kimbumbumbu za Yanga SC na Ushamba wao kuwawahi na Mkataba ule uliowafunga kwa miaka 10 kisha waje wamalizane na Simba SC kwa Mkataba mkubwa zaidi "

Taarifa za ndani kabisa nilizozipata zinasema Azam Media kwa Ubora wa Simba SC, Mafanikio yake ya ndani na nje ( VPL na CL ) huku ikifanya vyema hata Mitandaoni, Timu Kujulikana zaidi Afrika na Duniani na Mashabiki wake wengi kuwa na mwamko wanaenda Kuingia Mkataba na Simba SC wa kati ya Tsh Bilioni 75 mpaka Tsh Bilioni 90 ambapo kuna uwezekano Simba SC kila Mwezi ikapokea Tsh Milioni 350 mpaka Tsh Milioni 400.

Hongereni sana Azam Media na poleni sana Yanga SC kwa Kutangulizwa huku mkidhani mmepata Pesa nyingi kutoka Azam Media wakati Wiki Mbili zijazo tu Simba SC inaenda Kuingia Mkataba mnono na wenye Vitu vingi vya maana na Simba SC.

Simba SC tujiandaeni Kufurahia zaidi.
 
Unaweza kuwa upo sahihi lkn umeongea kitoto sana huku umetanguliza ushabiki badala ya mantiki
 
Nyinyi ni mbumbumbu tu! Hata hao Azam wakiamua kuwadanganya kwa kuwasainisha huo mkataba wa bilioni 90, halafu baadae wakiwapiga kiswahili, mnakubali tu.

Na kama mimi ni muongo, uniambie hapa kama yule kuch kuch hotae ameshaweka kwenye akaunti ya klabu, zile bilioni 20!
 
Yaan Simba sc ndio mwanzilishi wa izi Club day event hapa Tz then uingie nae dili dogo ?
Simba sc ndio club yenye followers wengi ktk social networks hapa E&C Africa thennuingie nae dili dogo ?
Simba sc ni CAF CL quarter finalist for 2 yrs ndani ya EAC then uingie dili dogo ?
Simba Sc. Kupitia Simba queens wana cheza Women CAF CL then uingie nao dili sawa na yanga ?
CAF wenyewe wana michuano yao ile mipya ya SUPER LEAGUE then imejumuishwa directly na Pitso Musimane Mwenyewe Prezda wa CAF then simba sc wasain deal sawa na Yanga ?

Wana yanga msijitambe ...hapo ktk ilo deal Simba sc lzm atapata zaidi yenu
 
Mdomo mwingi ulimponza Manara....sisi wana Yanga tushamaliza yetu kazaneni na yenu,kama una kilicho bora kwanini kisicho bora kinakupa tabu hivi...??kuidis Yanga kila uzi unaoandika ina maanisha nini na wewe timu yako bora?

Nyie si mmeshauza nusu ya timu yenu kwa bilioni 20 hewa,hayo ndo ya kujadili na wenzio..
 
Nilichojifunza kupia maongezi ya watu,ni kuwa watu wengi hawajui nini hasa yanga kaingia mkataba na Yanga
 
MO alishaweka wazi thamani halisi ya Simba haizidi bilion 4, yeye MO kaweka 20 bilion Ina maana umiliki wake na nguvu Yake pale Simba ni milele au mbaka atakapo amua vingine.
Mikataba yote itakayo kuja pale Simba MO mwenye hisa nyingi ndiye anaye wajibika ku fanya majadiano na faida itakayo patikana wanagawana MO na Simba Sport club company na Mwenye mtaji mkubwa ndie mwenye gawio kubwa. Kwa ujumla Simba ilisha uzwa mwache MO aanze kula faida.
 
Back
Top Bottom