Azam Media wametumia Akili Kubwa sana kuanza na Yanga SC wakati Mkataba watakaouingia na Simba SC utakuwa ni Mnono zaidi

Hapo hakuna hoja yoyote,na usidhani kuwa yanga hawajui kuwa,moja ya udhaifu mkubwa wa simba ni uongozi,azqm wanatia saini na nani simba?,mo?au viongozi wa simba?,leo unaiona yanga iko chini,subiri kama mwaka utaiongelea yanga hii hii,unavyoingelea sasa,pia fahamu kuwa azam haina uwezo wa kifedha,kutoa kiasi kikubwa cha fedha hicho kwa timu kubwa 2 nchini tanzania

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mkuu umetisha azam hana pesa
😂😂😂😂
 
Hawa azam midia huu mkwanja wanaupata wapi? Tff atalipwa 225.6bn, Yanga 43bn , simba 90bn. Jumla 360bn.
Mkuu uelewe kitu kimoja hizi pesa hazitolewi kwa pamoja wat wamekua wanakurupuka t bili.225 sjui bilion 41,
Kuna michanganuo mingi sana umo ndani,,
Na ukiskia wat wanataja izo B kwenye signing ni kuuthaminisha mkataba kuhype habari,,
Ila kiuhalisia haipo hivyo.
Mfano yanga atakua anapokea mil.200 kila mwez kwa msim wa kwanza..
Means azam anajua atakapofunga vitabu vyake mwisho wa mwez kwenye bills anazotakiwa kulipa moja ni hiyo 200 ya yanga na anajua inapatkana vipi..
Vivo hizo kwenye ligi fedha zinatolewa kwa kila team mwisho wa mwez na mwisho wa ligi.
Kutokana na nafasi utayoshika.
So azam anachokifanya nikufanya biashara na kulipa bills zake sio kua anatoa iyo hela mfkoni b.41 ampe yanga.
Wanaztoa wapi kwa sasa
 
MO alishaweka wazi thamani halisi ya Simba haizidi bilion 4, yeye MO kaweka 20 bilion Ina maana umiliki wake na nguvu Yake pale Simba ni milele au mbaka atakapo amua vingine.
Mikataba yote itakayo kuja pale Simba MO mwenye hisa nyingi ndiye anaye wajibika ku fanya majadiano na faida itakayo patikana wanagawana MO na Simba Sport club company na Mwenye mtaji mkubwa ndie mwenye gawio kubwa. Kwa ujumla Simba ilisha uzwa mwache MO aanze kula faida.
MO anawajambisha sana Yanga, imekuwa hamfanyiki jambo lazima kigezo kiwe MO na safari hii maji mtaita mma.
 
Mkuu uelewe kitu kimoja hizi pesa hazitolewi kwa pamoja wat wamekua wanakurupuka t bili.225 sjui bilion 41,
Kuna michanganuo mingi sana umo ndani,,
Na ukiskia wat wanataja izo B kwenye signing ni kuuthaminisha mkataba kuhype habari,,
Ila kiuhalisia haipo hivyo.
Mfano yanga atakua anapokea mil.200 kila mwez kwa msim wa kwanza..
Means azam anajua atakapofunga vitabu vyake mwisho wa mwez kwenye bills anazotakiwa kulipa moja ni hiyo 200 ya yanga na anajua inapatkana vipi..
Vivo hizo kwenye ligi fedha zinatolewa kwa kila team mwisho wa mwez na mwisho wa ligi.
Kutokana na nafasi utayoshika.
So azam anachokifanya nikufanya biashara na kulipa bills zake sio kua anatoa iyo hela mfkoni b.41 ampe yanga.
Wanaztoa wapi kwa sasa
Mkuu unapoteza muda wako bure Kuwaelimisha Watu wa Yanga SC ambao wengi wao ( japo siyo Wote ) uwezo wao wa Akili ni 'Kiduchu' sana halafu pia ni Limbukeni ( Washamba ) mno tu.
 
MO alishaweka wazi thamani halisi ya Simba haizidi bilion 4, yeye MO kaweka 20 bilion Ina maana umiliki wake na nguvu Yake pale Simba ni milele au mbaka atakapo amua vingine.
Mikataba yote itakayo kuja pale Simba MO mwenye hisa nyingi ndiye anaye wajibika ku fanya majadiano na faida itakayo patikana wanagawana MO na Simba Sport club company na Mwenye mtaji mkubwa ndie mwenye gawio kubwa. Kwa ujumla Simba ilisha uzwa mwache MO aanze kula faida.
Utopolo acha kujitia UmAjiNuNi,Mo anamiliki 49asilimia,je unajua asilimia 51zinamilikiwa na nani!?mmekuwa wavivu hata kufikiri Jambo kwa kina,limekuwa tatizo sugu kwa wanautopolo.
 
Sawa lakini miaka zote Mikataba za Azam Media na Sportpesa wanaovuna pesa ndefu huwa ni Yanga. Tutafurahi kama safari hii Watani watatuzidi hela kwenye mkataba wa Azam Media
 
Izo pesa za Azam ahaziwekwi kwa mkupuo zinatoka kwa awam kila mwenzi kunakiasi kitakua kinatoka kwa mda wa miaka 10
Hili likitokea litaleta mgogoro wa kimkataba ( ingawa haupo) kati ya Mo na Simba. Kama thamani ya simba haizidi B20. Simba wakiingia huo mkataba B90, Mo anaweza wapeni 20B yenu akavuta faida 70B fasta!

Waliokataa huo mkataba wamehofia hilo!
 
Sawa lakini miaka zote Mikataba za Azam Media na Sportpesa wanaovuna pesa ndefu huwa ni Yanga. Tutafurahi kama safari hii Watani watatuzidi hela kwenye mkataba wa Azam Media

Umeambiwa kipindi Sportpesa wanaingia Mkataba na Simba,ilikuwa iko hoi kama ilivyo sasa hivi Yanga ukiilinganisha na Simba. Sasa hivi Sportspesa anajua fika Simba ana upper hand katika mkataba wowote watakaoingia,na sitoshangaa Sportspesa wanaweza wasifikie hata dau watakaloambiwa na Simba.
 
Kuna mtu mshamba kukuzidi wewe dunia hii? Ama kweli Nyani haoni kundule.
 
Back
Top Bottom