Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,359
Asante kwa mchango wako...mada yangu imejikita sana katika kusisitiza uboreshwaji wa urushaji wa matangazo...angalia jinsi DSTV wanavyorusha matangazo ya ligi ya south Africa...na jinsi inavyorushwa na Azam.I think ungewashauri TFF waongeze posho kwa marefa wao. Hii ndio itaondoa sintofahamu za kubebwa bebwa...
Uwanja upi!?Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA...
Hata mechi ya simba na geita utata ulisababishwa na camera za azam kuwa chache na wale waliorudia walishindwa kuonyesha replay vizuri. Camera iliyoko lango la geita ilikuwa haionyeshi contact yoyote wakati ya lango la simba ndio ilionyesha kila kitu kwa mujibu wa ufm habariMsimu wa mwaka juzi mechi ya mbeya city vs yanga kuna goli walipewa yanga lakini kwa marudio ya tukio huwezi kuona kama mpira ulivuka mstari au haukuvuka kipindi mchezaji wa mbeya city anaokoa. Kwa kweli matukio ya kurudia mengi yanakuwa sio clear.
Inawezekana kabisa wewe huwa hutazami Mpira.I think ungewashauri TFF waongeze posho kwa marefa wao. Hii ndio itaondoa sintofahamu za kubebwa bebwa...
Ni kweli inabidi waongeze camera uwanjaniInawezekana kabisa wewe huwa hutazami Mpira......
Miaka ya nyuma hakukuwa na malalamiko, Una uhakika? Marefa wamepigwa sana miaka ya Nyuma.
Pia hujui tabu tunayopata wakati wa kutazama Mpira, mfano mechi za Mkoani Azam nadhani wanaenda na Camera mbili tu.
Azam kuonyesha ligi Hafanyi hisani ni biashara ile, kama ambavyo yupo busy kuongeza bei za vifurushi ndio atuongezee na Camera tupate tunachostahili....
Inawezekana mleta mada kabase upande wa kuclear doubts kuhusu maamuzi, ila tabu yangu mimi ni Huduma.
Iendane na 20k+ tunazompa kwa mwezi.......
Naona analenga faida tu saiv, kupeleka kisimbusi chake Nje ya nchi...., anaisahau ligi iliyomuweka kwenye ramani.
Azam Tv, ongezeni camera aseee.
Na kama kuna mamlaka yoyote inayosimamia hili swala ilifuatilie asee.
Na kama ni TFF kwenye mkataba wao na Azam TV, ikifika mda wa kureview mkataba, wawambie watuongezee camera aseee.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Bila kusahau kamera moja sio chini ya dola laki mbiliAsante kwa mchango wako...mada yangu imejikita sana katika kusisitiza uboreshwaji wa urushaji wa matangazo...angalia jinsi DSTV wanavyorusha matangazo ya ligi ya south Africa...na jinsi inavyorushwa na Azam....kuna tofauti kubwa sana. Ni wazi kuwa camera zinazotumika kurekodi mechi ni chache sana na wataalamu wanao operate hizi kamera na urushwaji wa matangazo ya mechi live pia ni wachache.
Hiyo ni investment anawekeza kwa kitu ambacho after 3 years pesa yote anakuwa ameirudishaBila kusahau kamera moja sio chini ya dola laki mbili
Hiyo watajua wao.....Bila kusahau kamera moja sio chini ya dola laki mbili
Mkuu ,Tatizo siyo camera Azam Wana camera za kutosha ambazo unazisemea ,Tatizo ni wataaalamu.Hawana wabobezi WA kuzitumiaSalaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo ya mpira LIVE.Bado mnatakiwa muongeze uwekezaji katika camera zenu hususani kamera za juu na zinazochukua uwanja kwa upana,camera za offside na pia replay zenu zinatakiwa ziwe instant kuonesha matukia yaliyotokea muda mfupi uliopita hii itasaidia hata TFF nao kujiongeza kuleta technolojia ya VAR hapa nchini ili kuondoa changamoto ya waamuzi hivyo kuifanya ligi yetu kuwa bora zaidi.
Hela mnayotoa na mnachokipata ndio haki yenuHiyo watajua wao.....
Sie tunawapa hela watuonyeshee mpira.
Sio kutuonesha mpira kama tunachungulia kwenye shimo watu wanacheza chini sie tupo juu.
Wakikujibu nitag mkuumupo tayari kuengeza malipo ya kulipia king'amuzi au muongezewe camera tu?
Kama anaona hasara atupishe......Hela mnayotoa na mnachokipata ndio haki yenu
Akupishe utaonyesha wewe? Watu kwa kujimwambafy hamjambo aiseeKama anaona hasara atupishe......
Mkataba alioingia ni wa kutuonesha mpira sio,
Kutufanya tuangalie kama tunachungulia.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app