adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,960
- 6,162
Waache waendelee kukariri na vihabari vyao vya kurekodi,mara ukute picha au video zimeingiliana ya taifaa hiyo.Mara mtangaza habari kagandishwa huku habari imegoma.Na tisa kumi leo nimeona kule taifa tv kuna muda ilijitokeza VLC MEDIA PLAYER wakati wakiripoti toka Dodoma.Sasa sijajua kuwa ilikuwaje kuwaje.Au walikuwa wanafanya ma installation.Sina jibu mnaojua nisaidieniAZAM TV wanastahili hongera. Wengine bado hawajasoma alama za nyakati kwamba watu wanahitaji nini wakati gani. wanahitaji kubadilika kuendana na mazingira siyo kuwa na ratiba zisizo badilika, kwa sababu kunapokuwa na matukio maalumu vipindi vya kila siku watazamaji hupungua kwa kuelekea kwenye matukio maalumu