Azam Media mnastahili pongezi

Azam Media mnastahili pongezi

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,178
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa (azam media) kwa kuwa hewani siku nzima ya leo katika kutujuza yanayoendelea dodoma,tofauti na vyombo vingine vya habari, na ihi inatoa picha kwamba kipindi cha kampeni azam media itawashinda vyombo vingine kwa utoaji bora wa habari kwa kina,
 
Ni kweli Azam TV n moto Wa kuotea mbali. Wamesajili majembe yote.
Fatma Almas Nyangasa, Ivona Kamutu, Baruhani Muuza, Raymond Nyamwihula, Charles Hirraly
 
AZAM TV wanastahili hongera. Wengine bado hawajasoma alama za nyakati kwamba watu wanahitaji nini wakati gani. wanahitaji kubadilika kuendana na mazingira siyo kuwa na ratiba zisizo badilika, kwa sababu kunapokuwa na matukio maalumu vipindi vya kila siku watazamaji hupungua kwa kuelekea kwenye matukio maalumu
 
Hata mimi nimewapenda sana...na wakiweza kuonesha FA Premier league kama wanavyosema TV zingine zitafunga biashara kabisa.
 
Ata mimi nawapa pongez wamenikosha sana aisee, harafu wana waandish mahiri kwel kweli
 
Hao wengine uwa wanabeba vifaa vyao na kwenda sehemu husika,then wakifika tu wanaanza kufunga mitambo.!
AZAM MEDIA WAO WANAANZA KUULIZA UTARATIBU WA KURUSHA MATANGAZO HUSIKA NA WAKIKUBALIANA WANALIPIA SEHEMU HUSIKA NA KUFUATA TARATIBU NYINGINE KM KUFUNGA MITAMBO N.K,
SEE THE DIFFERENCE.
 
Na hata inasikitisha vituo vya TV kama ITV, Channel ten, StarTv ni vikongwe sana lakini utangazi ni style ile ileisiyobadilika!

Binafsi, nilitegemea vituo kama ITV viwe na channel kama ITV News, ITV Sports nk

Cheki Azam wamekuja juzi tu lakini wanawa overtake wakongwe!
 
Kwa kweli jamaa wako vizuri sana hawa Azam media. Kule kuna watu wa kazi tuu. Natumaini wakati wa uchaguzi mkuu watatuletea matangazo yaliyo bora zaidi. big up Tido na time yako.
 
ni kweli mkuu unajua hawa wengine wanafanya kazi kwa mazoea, sasa azam wapo kikazi zaidi,
 
Kwa kweli jamaa wako vizuri sana hawa Azam media. Kule kuna watu wa kazi tuu. Natumaini wakati wa uchaguzi mkuu watatuletea matangazo yaliyo bora zaidi. big up Tido na time yako.

atarudisha mchakato majimboni,itakua raha sana bg up tido, kazi nzuri sanaaaaaaaaaaaaaa,
 
Wamevuta kichwa tdo muhando tbc nina myaka cjaangalia ila azam burudan kwa ote
 
Back
Top Bottom