Azam Media Ltd is coming soon

Azam Media Ltd is coming soon

Diver

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Tajiri wetu sasa kaamua kutumia fursa iliyokuwepo kuingia kwenye media industry ya kuanzia satelite tv yake.mchakato sasahivi anaomba kibali TCRA.

Haya sasa waliukowepo wajipange sana sababu huyu mtu analeta ma exparties hamna mambo yakujuana hapa.

Hamna digitek,continental wala startimes itakayofua dafu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Afike kila kona ya Nchi hii si kubaki Dar kama
Star times ama hao wajanja wengine.
 
inakuja na full channels,mpira uefa,world cup etc.Dstv soon itabidi wachushe bei.
 
Na ile ishu ya mabasi iliishia wapi?
 
Kila kitu kinaenda kwenye mchakato wa kimataifa.itakuwa satelite television itapatikana tz nzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Dstv has exclusive rights over english premier league in Africa like to sijui 2015, sidhani Azam will air EPL unless they strike a deal with Dstv.
 
Tajiri wetu sasa kaamua kutumia fursa iliyokuwepo kuingia kwenye media industry ya kuanzia satelite tv yake.mchakato sasahivi anaomba kibali TCRA.

Haya sasa waliukowepo wajipange sana sababu huyu mtu analeta ma exparties hamna mambo yakujuana hapa.

Hamna digitek,continental wala startimes itakayofua dafu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Toa tu Taarifa.Huna haja ya kumponda 'Mkunga' aliyepo. Hata biashara ya mabasi tuliambiwa hivyo hivyo na watu walianza kuponda yaliyopo lakini bado hakuna kinachoendelea na watu bado wanaendelea kupanda yale yale mabasi waliyoponda waliposikia kuwa Azam anataka kuingia kwenye fani!
 
Na ile ishu ya mabasi iliishia wapi?

Haendi kisanii huyo amefanya kwanza utafiti hafu ndo kapress order scania sweden mwezi wa 6 mabasi 10 ya mwanzo yataingia tokea south a. baada ya kujengwa. Ajira wahi uwe mkata tiketi ha ha ha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom