Azam Media kuwazidi kete DStv?

Sawa mkuu, ila wengine wanakosea kusema "akajifie huko" huyu ni mtanzania mwenzetu na sisi kama wadau tunatakiwa kuwa nyuma yake na kumsupport kwa yale anayoyafanya...huoni kuwa ni faraja kubwa sana kwetu!
Mfumo wetu wa siasa ndiyo kikwazo kikuu kwa wajasiria mali wetu wa ndani. Azam wako vizuri mno but nawashauri wakainvest na nchi jirani wanaweza wakaibukia huko.
Media kama wakubwa hawana direct individual profit lazima wakusumbue sana. Hili ni tatizo.
Dstv ni chombo ya mwingereza lakn katokea marekani na anakubalika kutokana na sera zao nzuri.
 
mnazijua bei za kuonyesha epl live mechi zote? msikurupuke wakuu dstv wamejipanga. isije kua yale ya tbc kuonesha epl kwa wiki mechi moja game yenyewe unakuta ni ya relegation battle teams. tbc walihojiwa vipi kuhusu kuonyesha mechi zote wakadai expense zake itabidi nchi iuze mbuga ya wanyama every season!kwa izi ela za madafu wanazochaji azam, bakhresa akionyesha epl for ten consecutive seasons atarudi kwao uarabuni na ngalawa!

Hakuna kinachoshindikana, jamaa anapesa za kufa mtu..tumuombee tu
 
Mfumo wetu wa siasa ndiyo kikwazo kikuu kwa wajasiria mali wetu wa ndani. Azam wako vizuri mno but nawashauri wakainvest na nchi jirani wanaweza wakaibukia huko.
Media kama wakubwa hawana direct individual profit lazima wakusumbue sana. Hili ni tatizo.
Dstv ni chombo ya mwingereza lakn katokea marekani na anakubalika kutokana na sera zao nzuri.

Kweli kamanda...
 
Unasema akipata kibali wakati dstv anacho na East Africa yote anatamba.Unayoyasema ni probability akikosa. Vijijini kwenyewe wanajua utamu wa epl na wamefunga dstv.
Timu kama arsenal,Chelsea,man u,Liverpool man city zinajulikana vijijini kuliko maelezo.
Sema mengine siyo dstv azam ni mtoto wa nyumbani tunamheshimu lakni ktk market competition na dstv asubiri.
Sija ongelea kibali! Au umenielewa vibaya. Azam asubiri nini wakati tayari anamsumbua Dstv kwenye soko la bongo. Ndani ya muda mchache amefanya wonders, Dstv analijua hilo na Dstv wa sasa hivi siyo yule wa kabla ya azam aja ingia kwenye game ushindani umemweka sawa. Hapa mjini tu watu wana Dstv ila wana enda vibanda umiza sembuse kijijini.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu, ila wengine wanakosea kusema "akajifie huko" huyu ni mtanzania mwenzetu na sisi kama wadau tunatakiwa kuwa nyuma yake na kumsupport kwa yale anayoyafanya...huoni kuwa ni faraja kubwa sana kwetu!
Kwan hao azam wanatupa nn cha zaid kama mzawa.kila kitu tunalipia .wameajiri wanalipa kodi the same na dstv.bas sioni haja ya statement yako.
Usifananishe dstv na azam mbali sana
Kuanzia cus base
Hivi azam ana decoder kama explora.au wana extra view?au ndo ile ukitaka kufunga tv nyingn room unanunua mpk na dish tena?
 
Halafu cha kushangaza afrika sanasana watu weusi ndio tunaongoza kwa kulalamika kuhusu ubaguzi halfu wenyewre wenyewe hatupendani.
 
Kwan hao azam wanatupa nn cha zaid kama mzawa.kila kitu tunalipia .wameajiri wanalipa kodi the same na dstv.bas sioni haja ya statement yako.
Usifananishe dstv na azam mbali sana
Kuanzia cus base
Hivi azam ana decoder kama explora.au wana extra view?au ndo ile ukitaka kufunga tv nyingn room unanunua mpk na dish tena?

Mungu aendelee kumbariki bwana Bakhresa!
 
Back
Top Bottom