Azam Media Group

Tunakisubiri hicho Kisimbuzi. Je kitakuwa ni sh. ngapi kwa kukinunua na pia sh ngapi kama malipo ya mwezi
 
Tunakisubiri hicho Kisimbuzi. Je kitakuwa ni sh. ngapi kwa kukinunua na pia sh ngapi kama malipo ya mwezi

Kisimbus chenyewe ni 48000, ila ukinunua seti nzima pamoja na dishi lake ni 90000, malipo kwa mwezi ni tsh 2000 tuu!!
 
Je kitacover mpaka mikoani au ni dsm tu? Niko ludewa porini sana nahitaji kujua kwani nilitaka nifunge dstv msimu huu.
 
nafikiri itakuwa mbaka mikoani maana wanatumia dishi
 
dstv ni kila kitu.hawawezi kuonyesha epl wakionyesha mimi nakufa

..............chimba kaburi kabisa na kama wewe ni kibonge anza kupunguza uzito ili usitusumbue tutakaobeba maiti yako
 
tutapanda foleni kubwa mnoooo kununua, Azam unatisha
 
Huenda Digitek,Continental,Star Times wakakosa kabisa wateja
 
Star tv wametangaza kuwa tayari TFF imeshaingia mkataba na Azam media kuonyesha ligi kuu tanzania bara ,kwa hiyo kitakuwepo
 
Star tv wametangaza kuwa tayari TFF imeshaingia mkataba na Azam media kuonyesha ligi kuu tanzania bara ,kwa hiyo kitakuwepo

Yaaaah, hii kitu ni ya uhakika,, mwez wa nane hapo mzigo unakuwa on air!! Andaa buku mbili zako mapemaaa za malipo ya mwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…