ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
utabishiwa mpaka basi.Kwa utaratibu wa sasa, rufaa inayohusu usajili haitoi point za mezani, ila timu iliyofanya udanganyifu ikakatiwa rufaa itatozwa sh. 1,000,000/= kila mechi iliyomchezesha mchezaji anayelalamikiwa, na afisa wa TFF aliyeidhinisha usajili wake atapewa adhabu. Matokeo ya uwanjani yanabaki kama yalivyokuwa