Azam king'amuzi mpya nimekwama

Azam king'amuzi mpya nimekwama

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Nisaidie ndo nimenunua kingamuzi kipya inatoa hiyo sms nikitaka kuangalia channel. Naombeni msaada maana namba zote huduma kwa wateja haipokelewi
IMG-20201205-WA0009.jpg
 
Message
Smart card never paired
 
We umenunua vichochoroni hawaja malizia kukupa huduma , Hivyo vinag'amuzi vya azam ukisha nunua ni lazima smart card itambulishwe kwenye king'amuzi chako tafuta mafundi wa madish wanajua utaratibu na jinsi ya kutambulisha hiyo smart kadi yako au rudi duka ulilo nunua hicho king'amuzi
 
Hongera boss kwa Flat Screen Ukutani Magetoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Subiria kagiza kakolee then wapigie watapokea, seems wanakuwaga busy. Mm nawasubirigi 3-4 ndo nawapigia in2 trials watapokea na issue wataimaliza
 
Back
Top Bottom