fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,626
- 7,198
hapana,kama mpira wa afrika unaujua basi utakubaliana na mimi azam wamesajili top,top players,isa fofana bonge la kipatimu iliyosajili vema msimu huu ni YANGA pekee wengine wote wanasajili majina tu.
Kwamba nafasi ya tatu ni ndogo kwa timu ambayo miaka ya tisini ilikuwa haipo ? Yaani vikongwe wote kina Majimaji, Pan African na wengine wengi wamebakia kuwa historia wao timu ya juzi inakwenda toe to toe na wakongwe ?
labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.Kwamba nafasi ya tatu ni ndogo kwa timu ambayo miaka ya tisini ilikuwa haipo ? Yaani vikongwe wote kina Majimaji, Pan African na wengine wengi wamebakia kuwa historia wao timu ya juzi inakwenda toe to toe na wakongwe ?
Bora wengine wote wangekuwa wa Kawaida kama Azam basi Ligi hii ingekuwa moja ya ligi bora duniani (maybe wengine wajifunze kutoka kwa Azam)
Unadhani bila kuwa mkongwe hizo pesa za wawekezaji utazitoa wapi ? Bila kuwa mkongwe pitch utajaza kila siku ? , Sponsorship deals n.k. ? Ndio maana hata Azam afanye nini ni ngumu kuwazidi Simba na Yanga by virtue kwamba hii ni timu Kongwe yenye mashabiki Tanzania nzima wakati Azam ni Timu ya Mdau kuhusu pesa kuwekeza bila mipango bora waulize kina Chelsea miaka ya hivi karibuni wamewekeza kiasi gani na kupata nini ?labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.
Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF
Ila mtani wanashtua sana kwa sasa au ni wasi wasi wangu๐๐
Pointilabda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.
Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF
Ngoja tutawaona kwenye ligi ๐๐Ila mtani wanashtua sana kwa sasa au ni wasi wasi wangu๐๐
yaanAzam wametukalia kohoni sijui kama msimu ujao tutatoboaHuu usajili wa azam msimu ujao unatisha.Wadau mnasemaje?
Watakuwa wanaendesha mpira kama familia zaoShida ya azam ni uongozi hoa warabu sijui wahindi kila mtu anatoa maelekezo km kwa mke wake