Azam inatisha

Azam inatisha

Ligi ikiisha wanaishia kushika nafasi ya 3 Cc Kalpana

Azam timu ya kawaida sana
Kwamba nafasi ya tatu ni ndogo kwa timu ambayo miaka ya tisini ilikuwa haipo ? Yaani vikongwe wote kina Majimaji, Pan African na wengine wengi wamebakia kuwa historia wao timu ya juzi inakwenda toe to toe na wakongwe ?

Bora wengine wote wangekuwa wa Kawaida kama Azam basi Ligi hii ingekuwa moja ya ligi bora duniani (maybe wengine wajifunze kutoka kwa Azam)
 
labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.

Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF
 
labda kuna kitu hukijui kuhusu mpira, mpira si ukongwe bali ni uwekezaji wa mabilioni ya pesa.

Kama mpira ni ukongwe mamelod sundawns wasingekuwa nafasi ya pili ktk ranking za CAF
Unadhani bila kuwa mkongwe hizo pesa za wawekezaji utazitoa wapi ? Bila kuwa mkongwe pitch utajaza kila siku ? , Sponsorship deals n.k. ? Ndio maana hata Azam afanye nini ni ngumu kuwazidi Simba na Yanga by virtue kwamba hii ni timu Kongwe yenye mashabiki Tanzania nzima wakati Azam ni Timu ya Mdau kuhusu pesa kuwekeza bila mipango bora waulize kina Chelsea miaka ya hivi karibuni wamewekeza kiasi gani na kupata nini ?

Narudia tena kwa Azam timu ya Jana tena ya watu wachache kufanya ilichofanya miaka ya hivi karibuni inahitaji Heko ya hali ya Juu... Na kutupia pesa bila mipango ndio imeua soka na timu nyingi duniani sababu sasa hivi hakuna sustainability.... Timu zimekuwa za wachache wanaotaka mafanikio ya leo na sio Mashabiki wanaotaka muendelezo

NB: Unajua Historia ya Mamelod na unaweza kuilinganisha na Azam ?!!!!
 
Hao tushawazoea wanasajili wachezaji wakubwa halafu ligi inaisha wanaishia no 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom