azam inatisha saaana check hapa.

azam inatisha saaana check hapa.

gidy boy

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
39
Reaction score
5
azam anatisha sana kila kitu utamkuta azam.
kwa mfano
timu ya mpira ya azam ipo!
televishen azam ipo
icecream azamu ipo
tirilika ulichosikia azam yupo.
 
bado kidogo utasikia wali nyama azam.

Nachojua Bakhresa anauza wali ulotengenezwa kiwandani kwake, nadhani itakuwa inaitwa Azam wali au labda nimekosea jina tu ila wali wa Bakhresa upo.
 
Wakuu na kama angeuza dawa ya meno angeweka mswaki na maji ya kuswakiaaaaa
 
Hivi matajiri kama kina Bakhresa huwa wanasimamiaje mali zao,maana products nyingi hivi utawasimamiaje wafanyakazi.
 
azam papuchi-- coming last year1 lols..
 
Ukila azam chapati au azam andazi na kunywa azam maji umeng'enyaji ukafanyika hatimaye ukaenda chooni utapata AZAM MAVI NA AZAM MKOJO.
 
Azam wife, Azam train, Azamland, Azam city, Azam Air
 
Back
Top Bottom