Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Asante mkuu mkolaj kwa updates
Ahsante sana nawe kwa ushirikiano wako na leo tena tuwe karibu na tv zetu kufuatilia mpambano kati ya mikia fc au ukipenda kuwaita "wazee wa droo" dhidi ya mafunzo ya zanzibar mchezo utakaopigwa mishale ya saa 11:00 jioni....Mkuu mkolaj asante sana kwa updates murua kabisa. Fahamu kwamba mikia wamechukizwa sana na huu ushindi wa Timu ya Wananchi, wamenuna kiasi cha kupasuka: Mimi nawaambia 'mwenye wivu akajinyonge'. Treni limekata breki litagonga chochote (including Simba) kitakachokatiza mbele yake.
Jibu swali rahisi tu $300,000 mnazo? Za Etoile du Sahel zimeishia wapi au siku 7 hazijatimia?
Mikia wakipigwa leo out,sijui kitanukaje pale kwenye jengo lao lisilo na choo!
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,,,,,,,,sasa jamaa wanakunyaga wapi?
Ahsante sana nawe kwa ushirikiano wako na leo tena tuwe karibu na tv zetu kufuatilia mpambano kati ya mikia fc au ukipenda kuwaita "wazee wa droo" dhidi ya mafunzo ya zanzibar mchezo utakaopigwa mishale ya saa 11:00 jioni....
Mpira umeanza kwa kasi kwa timu zote, dakika ya 5 simba 0-0 mafunzo
Mpira umeanza kwa kasi kwa timu zote, dakika ya 5 simba 0-0 mafunzo
Bro ungebadiliasha title iwe Mapinduzi cup special thread.