Azam FC vs Kagera sugar

Azam FC vs Kagera sugar

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Full time.

Kagera's 1 vs Azam fc 3.

goal scorers.

2' Tchetche.
assist: M.Yahaya

37' Kavumbagu.
assist:Tchetche.


62' Kavumbagu.
assist:M.Yahaya.


Kagera's goal.
54' R.Mandawa.
assist. juma mpola



Mikia fc you are next
 
Kagera sugar dimba la kirumba litawatesa sana walishazoea kucheza kwenye mahandaki pale kaitaba
 
Huu mchezo ni mzuri kuliko ule wa Mtani jembe kati ya aki na ukwa wa kariakoo
 
Paul ngwai kaingia kuchukua nafasi ya babu ally
 
Goal.
scorer:Kavumbagu
assist: Kipre tcheche.
minutes:37
 
Duh! wanakuja spidi lamba lamba lakini cha moto watakiona wakikutana na watoto wa AVEVA.
Moto wa KOPUNOVIC kuuzima kazi.
 
Duh! wanakuja spidi lamba lamba lakini cha moto watakiona wakikutana na watoto wa AVEVA.
Moto wa KOPUNOVIC kuuzima kazi.
Hamchelewi kukimbia jukwaa siku mkipigwa na kuwanza kusingizia SIMBA UKAWA,,,,,
 
goal:Kagera.
scorer:R.man dawa
assist:Juma mpola
minutes. 54
 
Back
Top Bottom