Azam FC vs Kagera sugar

Azam FC vs Kagera sugar

umeangalia game lakini?

bora sure boy asianze hiyo game kwani balou ,mudhahir Yahaya na do mayo wanacheza vizuri sana pale kati!!

huyo Kipre kapiga mpira mwingi kama wa mwaka juzi.

mataulo atakuwa analokota tu mupira kwa nyavu.
Viungo Jonas Mkude, Said Ndemla na Awadh Juma watakamata dimba la kati kiukweli ukweli, huku washambuliaji Danny Sserunkuma, Simon Sserunkuma, Elias Maguri wakitisha katika idara ya ushambuliaji, idara ya ulizi itakuwa chini nahodha mdogo kuliko manahodha wote wa Afrika mashariki na kati na Afrika nzima hata na mashariki ya mbali kwenye timu za ligi kuu Hassan Isihaka akisaidiana na Juuko Murushid na mbavu za pembeni Hassan Kessy na Tshabalala wakisaidia kupandisha mashambulizi na kupiga krosi zinazoongea na kwa maelezo hayo golikipa kinda Peter Manyika atakuwa likizo huku akiwa macho kuangalia endapo mafundi hao wa ulinzi wakipitwa.

Kwenye benchi kuna mafundi wengine kama Emmanuel Okwi, Ramadhan Singano, Ibrahimu Hajib, Baba Ubaya, Abdallah Seseme, Ivo Mapunda na wengine ambao wataingia kwenda kurekebisha mambo endapo platuni ya kwanza itaonekana kuelemewa.
 
Atadaka dogo asiye na papara...manyika
 
Hahaha.. kweli hii simba ya sasa ni ya kuogopwa sana pia ina kiburi.
 
Back
Top Bottom