Azam FC vs Kagera sugar

Azam FC vs Kagera sugar

Goal
Azam
scorer😀.Kavumbagu
assist: M.Yahaya.
minutes: 62
 
Azam sub's.
in:Mwaikimba

out: Kavumbagu
minutes: 78
 
Kagera's sub's

In:A.Kingwande
Out: Atupele green
 
Uwanja unawacost hawa kagera walizoea kucheza kwenye liuwanja ambalo halina nyasi
 
Duh! wanakuja spidi lamba lamba lakini cha moto watakiona wakikutana na watoto wa AVEVA.
Moto wa KOPUNOVIC kuuzima kazi.

hadi kufika mei, kopunovic atakuwa kwao akihaha kutafuta timu ya kuifundisha.
 
Duh! wanakuja spidi lamba lamba lakini cha moto watakiona wakikutana na watoto wa AVEVA.
Moto wa KOPUNOVIC kuuzima kazi.

".. Kopunovic anaijulia sana hii Simba. Tofauti yake na Phiri ni kuwa, Kopunovic anatuhamasisha sana kuanzia mazoezini hadi kwenye mechi ndo maana tunafanya vyema sana hivi sasa."

Source: "Kiraka" Awadhi Juma.
 
Lambalamba ni heri mfurahi leo, maana jumamosi ni kilio kwenu.
 
Kipre yupo vizuri mno!!

Anayetisha ni kavumbagu, na si huyu kipre aliyerejea juzi baada ya kuwa majeruhi wa mda. Ila naamini wizara ya ulinzi iliyo chini ya General Juuku Murshid itafanya kazi ya uhakika kuwadhibiti.
 
Anayetisha ni kavumbagu, na si huyu kipre aliyerejea juzi baada ya kuwa majeruhi wa mda. Ila naamini wizara ya ulinzi iliyo chini ya General Juuku Murshid itafanya kazi ya uhakika kuwadhibiti.



umeangalia game lakini?

bora sure boy asianze hiyo game kwani balou ,mudhahir Yahaya na do mayo wanacheza vizuri sana pale kati!!


huyo Kipre kapiga mpira mwingi kama wa mwaka juzi.


mataulo atakuwa analokota tu mupira kwa nyavu.
 
Back
Top Bottom