WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
ok mkuu ulikuwa tu shabiki na si mpenzi!ungekuwa mpenzi hakika ungeendelea kuumia moyoni pale timu kipenzi ingekuwa inafungwa lakini usingeweza kuhama!!ushabiki ni rahisi kuhama lakini si upenzi!!kama vile ambavyo leo ninavyo ishabikia azam lakini si mpenzi wa azam!Nilikua shabiki wa Yanga ushabiki niliorithi kutoka kwa babu na imekua kama desturi ktk familia yetu kuipenda yanga ila nimiaka miwili sasa tangu nilipo amua kupenda kitu kilichopo ndani ya moyo wangu (sio kwakua babu baba walipenda yanga basi na mimi niipende)
Azam wasipokuwa makini hii mehi watapoteza.
Wanataka sare hao ila kitambaa kidogoatudo ameumia ametolewa moja kwa moja dk 10 hawa jamaa wanaupoozesha mpira
Hawa nao si wangeacha wakaonyesha hata kesho, sisi wadau wa Simba na soka kwa ujumla wanataka tufanye nini.TBC1 wanaonyesha marudio Simba na Azam
Kwetu anaye toka mkali anaeingia moto wa kuotea mbaliametoka atudo ameingia kakolaki
'tuwaombee' kama maombi yana nafasi katika soka!!!N i kweli hawa jamaa ni wazuri sana na wakongwe kwenye michuano hii.
Hawa nao si wangeacha wakaonyesha hata kesho, sisi wadau wa Simba na soka kwa ujumla wanataka tufanye nini.
mkuu yanga wametokea wapi kwenye hii mechi!!bora ungesema kama simba!!!Azam kama yanga tu, mpira unapelekwa mbele bila malengo, ili mradi ukagombaniwe na ikitokea bahati ndio goli linapatikana
'tuwaombee' kama maombi yana nafasi katika soka!!!
Hawa nao si wangeacha wakaonyesha hata kesho, sisi wadau wa Simba na soka kwa ujumla wanataka tufanye nini.
mkuu yanga wametokea wapi kwenye hii mechi!!bora ungesema kama simba!!!
Azam kama yanga tu, mpira unapelekwa mbele bila malengo, ili mradi ukagombaniwe na ikitokea bahati ndio goli linapatikana
Issue ni maendeleo gani muliofanya/harakati za kisoka kama timu sio mashabiki. Nani kakwambia shabiki anaingia uwanjani kucheza? Yanga Simba zitapita miaka 10 mbele bilakua nauwanja wala Acadamy, sababu ziko kisiasa zaidi na ndio chanzo cha kudumaa soka letu la BongoMi sijakataa lakini bado kuhusu suala la mashabiki ni lazima uziheshimu Simba na Yanga.
ha ha ha ha!!itachukua muda kwa LIBOLO kusahaulika kwa liliyo yafanya!!!!Hilo ni la msingi sana na tayari tumelifanya na ndio maana hata sisi wa yanga tuko uwanjani tunawapa sapoti,hawa ndio wawakilishi wetu waliobaki hapa Tanzania,baada LIBOLOO! kutufanyia vitu vya ajabu hapa nyumbani na huko kwao!.