Azam FC Bus at Kazungula Border post

HAWA JAMAA WANATUNZA VEMA WACHEZAJI WAO,WANAWALIPA VEMA AFU HAWAIPIGANII TIMU KABISA

UONGOZI WA AZAM LAZIMA UWASAINISHE NA MALENGO YA KLABU,WASIPOFIKA HATUA FLANI PANGA LA MSHAHARA LINAPITA
 
HAWA JAMAA WANATUNZA VEMA WACHEZAJI WAO,WANAWALIPA VEMA AFU HAWAIPIGANII TIMU KABISA

UONGOZI WA AZAM LAZIMA UWASAINISHE NA MALENGO YA KLABU,WASIPOFIKA HATUA FLANI PANGA LA MSHAHARA LINAPITA
Hawalipi vizuri.
Mishahara na posho ni kubwa lakini siyo kama Simba na Yanga. Ila miundombinu ina bajeti kubwa kuliko timu yoyote bongo.
Source: Wachezaji waliopitia Azam.
 
Kuna mtu aliwahiniambia kwamba kutokana na muingiliano na maslahi mapana ya kibiashara, wakiwa wanachukua makombe kuwazidi Simba na Yanga uhasama unaweza kuhamia kwenye biashara. Mashabiki wakasusia bidhaa za Azam, kitu kinachowaingizia pesa ndefu.

Kwakua mie sio mtaalam wa mpira na mambo ya michezo nikajiondokea kutafuta urojo na mkate wa ufuta ila nikabaki na maswali, kwanini walianzisha timu ikiwa hawataki vikombe?
 
Ni uongo mkubwa!

Mbona sijaona mashabiki wa Yanga wakisusia bidhaa za Mo?
 
Mimi yanga ila napiga mo energy
 
Ni uongo mkubwa!

Mbona sijaona mashabiki wa Yanga wakisusia bidhaa za Mo?

Kwa mujibu wa huyo mwamba ni kwamba, hawasusii kwa sababu Azam sio mwiba tena kama walivyoingia na wameambua kubaki hapo ili bidhaa zisisusiwe. Inamaana Azam angekua anatandika na kunyanyua ndoo zote, mashabiki wa mahasimu wao wangehamishia kwenye bidhaa...

Niache kwanza nimalizie bokoboko na pweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…