Hongeraa! Wewe ni mwanaume unayeongoza kujishebedua hapa JF!Mpuuzi mkubwa wewe.
Hivi aina hiyo ya tvii, bado zipo sokoni kweli?Daah.
Mtaalamu hako ka tv umekaokota nini?
KOLOMIJEZ Be trippin' now.This Is Tanzania
Pigia mistari mitatu ni MTANZANIAWatanzania
Hongera sana kwako wewe mwenye Neema tele, Lakini vidole havilinganiNaona TCRA wameamua kuhangaika na wapenda vya bure.
Kuangalia TV, is not a basic human need. Asiye na uwezo wa kulipia akaangalie TV kwa jirani au asikilize radio.
Mambo ya dezo ndio yaliua mashirika ya umma, tukiyaendekeza yataua na mashirika binafsi.
Nilikuwa siikosi taarifa ya habari saa 23:00 Azam two, Sijui wamekumbwa na nini hawa Azam, au wanafikiri wote tunapenda hizo tamthilia zao?Taarifa ya habari Azam Two hakuna, then wanaenda mbele zaidi wanatoa ITV..... DSTV itanihusu sasa
Hivi hizi Tv bado zipo dunia hii??Hapa mi naenjoy na frresat yangu![]()
![]()
![]()
Kijana nipe faida ya hichi king'amuzi ps na bei yakeHapa mi naenjoy na frresat yangu![]()
![]()
![]()


Mbona mimi kwangu hazionekaniClouds na channel 10 bado zipo
kwangu hakuna ambayo haionekani, zote zilizokuwepo bado zipoMbona mimi kwangu hazionekani
Duu basi kutakuwa kuna tatizo mahalikwangu hakuna ambayo haionekani, zote zilizokuwepo bado zipo