tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
Clouds na channel 10 bado zipoDstv wenyewe wamebakiza tu ITV, STAR TV NA TBC zingine wametoa
Clouds na channel 10 bado zipoDstv wenyewe wamebakiza tu ITV, STAR TV NA TBC zingine wametoa
Daah.Hapa mi naenjoy na frresat yangu![]()
![]()
![]()
Hahahahaha mkuu niliuza ka flatvkanguMkuu naona kitu cha Sharp..big up
Mpuuzi mkubwa wewe.Naona TCRA wameamua kuhanfaika na wapenda vya bure.
Kuangalia TV, is not a basic human needs. Asiye na uwezo wa kulipia akaangalie TV kwa jirani.
Mambo ya dezo ndio yaliua mashirika ya umma, tukiyaendekeza yataua na mashirika binafsi.
Hahahahaha mkuu ndo maisha yetu kaka wala hakana nomaDaah.
Mtaalamu hako ka tv umekaokota nini?

Yani uizime TBC unajitaka kweli? Hiyo ni channel ya ikulu kuonesha live show za jiwe.Tcra so ndio hawa viazi wanamwandikia barua roma then wanaikanusha?
Hakuna kitu pale.Naomba dstv nao wazime hadi tbc. Ili tusiwe tunaona live zao za magogoni. Tutaangalia jim jam sophia the first na tv za Kenya
Ha ha ha.Yani uizime TBC unajitaka kweli? Hiyo ni channel ya ikulu kuonesha live show za jiwe.
Hahaha sawa mkuu.Hahahahaha mkuu ndo maisha yetu kaka wala hakana noma![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa Hapo Wanamkomoa Nani? Mtazamaj Au TCRA?
Wataangalia Sinema zetuHasara tunapata wote kasoro startimes..azam bila local channel watakosa soko,huku wenye hivyo vingamuzi vya azam sijui watavifanyia nini!!
Hongera babaHapa mi naenjoy na frresat yangu![]()
![]()
![]()
Siyo watanzania hapo wanajikomoa wao maana watu wataacha kulipia na kusubiri ligi tu, nani anapenda channel za warabu.Watanzania
Hapo siasa ni ipiBongo kila kitu ni siasa
Yani kwakweli kuna wakati hata mimi nawish hvyo wazime tu hizo channels zote hadi hyo tbc nyambafuTcra so ndio hawa viazi wanamwandikia barua roma then wanaikanusha?
Hakuna kitu pale.Naomba dstv nao wazime hadi tbc. Ili tusiwe tunaona live zao za magogoni. Tutaangalia jim jam sophia the first na tv za Kenya
Bado hatujafika hukoKwa msaada zaidi tutafutane 0752 467 *9*View attachment 831214View attachment 831215View attachment 831217