Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,255
- 23,010
Dah, mnahaki ya kufurahi maana hata channel zenu zimelalia huko. King'amuzi kikiisha channel zilizobaki za kiswahili ni za dini yenu ila za upande wa pili hakuna.Nmesoma mahali kwenye Group moja kuwa kuna punguzo la mwezi wa Ramadhan decoder za azam.nkashukuru sana kwa sisi tunaofunga tutapata muda pia wa kuangalia vipind mbalmbal.
Kama ni kweli aisee tuzidi kuwaombea watu hawa. Na kama haijawa confirmed bas watufikirie kipindi suala la mfungo liwe jepes zaidi kwetu.
Wabillah tawfiq
we mbona mdini sana!!Dah
Dah, mnahaki ya kufurahi maana hata channel zenu zimelalia huko. King'amuzi kikiisha channel zilizobaki za kiswahili ni za dini yenu ila za upande wa pili hakuna.
Tufafanulie vizuri, punguzo la kiasi gani? Ilikuwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?Nmesoma mahali kwenye Group moja kuwa kuna punguzo la mwezi wa Ramadhan decoder za azam.nkashukuru sana kwa sisi tunaofunga tutapata muda pia wa kuangalia vipind mbalmbal.
Kama ni kweli aisee tuzidi kuwaombea watu hawa. Na kama haijawa confirmed bas watufikirie kipindi suala la mfungo liwe jepes zaidi kwetu.
Wabillah tawfiq
Mkuu azam hana haki ta kufungulia chanal ya tv station ambayo hawana makubaliano ya kuiyonyesha free.Dah
Dah, mnahaki ya kufurahi maana hata channel zenu zimelalia huko. King'amuzi kikiisha channel zilizobaki za kiswahili ni za dini yenu ila za upande wa pili hakuna.
Ni hoja Dhaifu,
- Sababu mojawapo ya kuwaangusha AZAM ni udini maana kifurushi kikiisha 99%ya chanel zinazobaki na Islam cjui kwann!!! Wanaboa bhana
Makampuni husda imezidi kwa upande wa piliNi hoja Dhaifu,
Suala la Channel fulani kurushwa free kwenye Ving'amuzi ni Maamuzi ya wenye Channel husika na siyo Azam wala kampuni zingine.
Mimi natumia ZUKU, lkn kwenye Zuku hakuna Channel yoyote ya Dini ya Kiislamu inayoonyeshwa for free. Na mfano TV IMAAN ndo haipo kabisa kwenye list hata ya kulipia. Nilipowasiliana na IMAAN MEDIA walisema kwamba wao walishawaambia makampuni yote ya visimbusi kwamba Warushe TV IMAAN bure, lkn wanashangaa kuona ni Makampuni machache tu ndiyo wanafanya hivyo.
Kwahiyo unapoona zipo free siyo suala la Azam Media bali Channel husika.
Hili swali halijajibiwa mnakazania mambo yenu ya udini mnakera wote wether wewe ni mkristu au muisalm ukitaka kuzungumzia hayo nenda jukwaa lakeTufafanulie vizuri, punguzo la kiasi gani? Ilikuwa tsh ngapi na sasa ni tsh ngapi?