Azam kiukweli wameshindwa kutuletea channel bora za nje, eg France, US, UK, badala yake wanatuletea channel kibao cha kihindi, Burundi, Rwanda, Uganda, Channel kibao za kiislam, yaani zinakera sana.. Kuna channels nzuri sana za nje za kila aina, michezo, entertainment, etc, ila hakuna..