Ayub Rioba: Niliipenda sana CCM, ila Mungu anaweza kuipenda zaidi 2015

\
Yes plan B, what is that;
  1. toppling the government? No, it is not accepted by international community!
  2. Peoples power? No, it may bring chaos!
  3. strikes? No, the economy may collapse!
​Please advise!

Ghwa kukajha,ukienda kugombea ubunge Ileje nitakuwa sehemu ya wapiga kampeni wako trust me!! You have my vote!! suala la itakuwaje hawa CCM wakishindwa mwaka 2015 ni swali linalonijia kila mara ninapoifikiria nchi yangu! Maana naona mikakati mingi wameianza geared towards kulazimisha ushindi mwaka 2015;

1.Kusitisha kuonyesha live vikao vya Bunge
2.Kauli ya Mheshimiwa Rais kwamba atakabidhi Urais wa nchi hii kwa mwanaCCM mwenzake
hiyo inaonyesha demokrasia itafinywa ili kumuwezesha wa CCM awe ameshinda awe ameshindwa kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania/Tanganyika.
3.Na mengine mengi ikiwamo/zikiwamo kauli zilizotolewa jana na Mheshimiwa Rais wakati akifungua semina ya makamanda wa polisi wa mikoa!

Maombi yangu mbele za Bwana ni atakayeshinda kwa uhalali ambaye ndiye wananchi wa taifa hili kwa uwingi wao wataona anafaa na anastahili kuwaongoza huyo ndiye awe Rais wa 5 haijalishi ni mwana CCM,CUF,UPDP,TADEA au CDM.
 
Hakika umenikosha! Tuombe Mungu kwani lengo ni kuwawezesha wananchi kutambua haki yao katika kujiletea maendeleo yao!
 
Back
Top Bottom