Ayub Rioba: Niliipenda sana CCM, ila Mungu anaweza kuipenda zaidi 2015

\
Yes plan B, what is that;
  1. toppling the government? No, it is not accepted by international community!
  2. Peoples power? No, it may bring chaos!
  3. strikes? No, the economy may collapse!
​Please advise!

Kill the Elected Candidate/President
 
Nchi haziendeshwi kitoto, "apia"!
watanzania tunapenda kutoa majibu mepesi kuwafanya wananchi wenzetu hamnazo: nani asiyejua kwamba CCM hawako tayari kukabidhi madaraka, kukuhakikishia hilo pamoja na mfumo wa vyama vingi lakini hatuna mfumo wowote wa kukabidhiana madaraka endapo chama A kilichokuwa kinatawala kimeshindwa uchaguzi. hii ni hatari kubwa sana. hatutaki yarudie yale ya jirani zetu wakenya lazima tuanze mapema kuandaa utaratibu wa kukabidhiana madaraka maana dalili zinaonyesha kabisa kwamba mungu anaweza kuwapenda zaidi 2015. hii hoja ni nzito na lazima tuifanyie kazi mapema iwezekanavyo.
 
ifahamike ya kuwa hat ccm na wao wamekwisha ona dalili za kushindwa mwaka 2015 na ndio maana hata wanahangaika huku na kule kutafuta mwarobaini wa matatizo yao na katika kutafuta suluhisho la tatizo ndipo wanapoharibu zaidi kwa maana ya kuwa siyo tu mwenyekiti wao aliyechanganyikiwa bali wanachama wote hivyo hata mwaka 2015 wanauona ni mrefu sana wengine wanasema bola ife sasa ili kupunguza aibu
 
Hakuna mambo ya serikali ya umoja wa kitaifa hapa, kinachotakiwa ni ccm kuondoka madarakani

Sikubaliani na watu wenye mawazo potofu kuwa eti ccm watakataa kuachia madarakal. Kwani ccm wana hati miliki ya nchi hii? Ni bora wajiandae kutoka kwa amani sasa hivi kwani wakijaribu kufanya janja tutawatoa kwa nguvu ya uma kama Misri na Tunisia alafu wanaishia The Heague kupigwa kitanzi. Wameshindwa elimu, afya, na maendeleo mengi tu, wanapata wapi uwezo wa kung'ang'ania madarakani. ccm ni chama dhaifu sana, hawastahili hata kupewa hadhi ya kung'ang'ania madaraka kwani hawana uwezo huo.
 
System At Work

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

Naomba kuuliza swali: Hivi huko angani nako kuna raisi na serikali?
 
\
Yes plan B, what is that;
  1. toppling the government? No, it is not accepted by international community!
  2. Peoples power? No, it may bring chaos!
  3. strikes? No, the economy may collapse!
?Please advise!
May be the best option is to leave CCM ruling even if it doesnot win in election kwa sababu tukiwalazimisha watoke inaweza kutokea vurugu
 
Swali muhimu ni je;
  1. chama kinaweza kuwaapia Watanzania leo kwamba wasipokipatia ridhaa hiyo mwaka 2015 kitakabidhi madaraka kwa chama kitakachoshinda kwa kura nyingi?
  2. Na endapo CCM hakiwezi kuahidi hadharani kwa kuapa, upo uwezekano tukaanza kujadiliana jinsi ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa mapema ili kujenga kwanza muafaka wa kitaifa badala ya kuendelea na mipango ya uchaguzi tukiwa na huu uhasama uliojaa uroho, chuki, fitna na ndwele, ambao tumekwishaona tayari, unajenga misingi ya kuvunja taifa letu?
Source: Raia Mwema

Nchi haziendeshwi kitoto, "apia"!
Hapo zomba umewakosea adabu Wazanzibar na Kikwete anyejisifu kuuasisi mfumo uongozi ulioko Zanzibar
Nahisi "System At Work" Imezimika
 
Hili nalo swali. very good, maswali ya hivi watu hawayapendi hivyo wantumia mbinu ili tusijue misimamo yao. Amekerwa na maswali haya huyo.
 
Kwa serikari hii na wanachama wake ni ya kitoto. Kwa wenye busara huo nao ni ukweli mkuu
 
mkuu nakushangaa hata kama unakuwaga na muda wa kumsikiliza huyu jamaa aitwaye kiroba. I never wasted my time listening that guy. the person is below mediocre

Back
Top Bottom