Ayub Lakred ni Golikipa Bora Afrika

nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,771
5,315
Huyu mwamba ni nomaa. Aishi Manula pole sana huwezi kushindana na huyu mwamba katika nyanja zote zilizowazi uwanjani labda umroge.

Jamaa ni bonge la sweeper na bonge la nyanda.

Ni kipa bora round 3 Ligi ya Mabingwa.

IMG_20231211_112948.jpg
 
Asubirie misumali kutoka kwa manula
Sisi kama mashabiki wa nyanda Ayub hatutakubaliii, bora Manula astaafu kuliko Ayub kupigwa misumari.

Jamaa ni nyanda ya kizazi kipya kabsa hii

Sio old fashion sweeper kabsa
 
Hiyo list yako sio kutoka Caf wenyewe, Wydad hawawezi kutoa wachezaji watano kwenye kikosi cha wiki
Kuna timu 16 halafu wachezaji watoke timu ndani ya timu 6 tu
Etoile du Sahel 1
Yanga 1
Asec 2
Simba 1
Tp Mazembe 1
Wydad 5
 
Huyu mwamba ni nomaa. Aishi Manula pole sana huwezi kushindana na huyu mwamba katika nyanja zote zilizowazi uwanjani labda umroge.

Jamaa ni bonge la sweeper na bonge la nyanda.

Ni kipa bora round 3 Ligi ya Mabingwa.
Kwani Manula alivyokuwa klabu bingwa mbona kakaa sana humu kwenye vikosi vya wiki? Mbona Manula mumemuimba sana kwa jina la Tanzania one? Mbona Manula kaibeba sana kwa saving zake? Wabongo kwa kuwa vinyonga tunaongoza.
 
Wazee wa misumari muwe na huruma na tajiri na sisi mashabiki. Mchezaji anasajiliwa kwa hela nyingi mshahara mkubwa wewe unalipa laki tu kumpiga misumari
 
Wazee wa misumari muwe na huruma na tajiri na sisi mashabiki. Mchezaji anasajiliwa kwa hela nyingi mshahara mkubwa wewe unalipa laki tu kumpiga misumari
Aisee, hivi kumpiga mtu misumari ni laki tu :oops::oops::oops: Ndiyo maana wanasema njia ya uzima ni nyembamba. Ni rahisi kubomoa kuliko kujenga
 
Katikati ya dimba Namuona mwamba Pacome zou zou fundi wa Mpira wa miguu .

Hawa asec mimosas football academy yao Mbona inafanikiwa wakati huku kwetu haitoi vipaji Kama zamani za kina edibily , ngasa , sekilojo ,mogela, masha nk .
 
Hiyo list yako sio kutoka Caf wenyewe, Wydad hawawezi kutoa wachezaji watano kwenye kikosi cha wiki
Kuna timu 16 halafu wachezaji watoke timu ndani ya timu 6 tu
Etoile du Sahel 1
Yanga 1
Asec 2
Simba 1
Tp Mazembe 1
Wydad 5
wewe ni tomaso nenda Caf yenyewe kwenye site yao kama hutaikuta hii orodha, ukiikosa nidai milioni
 
Back
Top Bottom