Ayiii kaka weka yote episode 1

Ayiii kaka weka yote episode 1

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
EPISODE 1
Kaka Peter aliitikia shikamoo yangu huku akinitumbulia macho, nilihisi kuna zaidi ya tatizo haikuwa kawaida yake kuniangalia kwa macho ya vile.nilijiuliza kama ninakosa nitakimbilia wapi maana ndani ya nyumba tunaishi wawili tu mimi na yeye,alitengana na mkewe mama tausi miaka minne iliyopita,kisa sikifahamu.

Wakati wakitengana mimi nilikuwa bado naishi nyumbani Shinyanga nasoma hule ya msingi Uhuru. baada ya kumaliza darasa la saba nilikosa nafasi ya kuendelea na masomo ndio akanichukua kaka mtoto wa mama mkubwa. Kaka Peter alinichukua mwaka mmoja mbele baada tu ya kutengana na mkewe.mama yangu ndiye alimuomba kaka kunichukua kuja kusoma mwanza. Maisha yetu nyumbani na mjomba yalikuwa mazuri sana, nyumba nzuri ina geti. Kaka anagari, msichana wa kazi, na mlinz.Kaka anafanya kazi kampuni ya usafirishaji kama mkaguzi wa mabasi yaendayo mikoani yenye masilahi makubwa.

josephine''kaka aliniita kwa sauti iloyojaa utulivu wa hali ya juu, baadaya kumaliza kuniangalia kwakunitumbulia macho, Unajua kilicho kuleta mwanza?
Najua kaka'' nilimjibu huku nikichekacheka.
''Ni nini?'' alinijibu huku akiwaamekunja uso kuashiria kwambahatanii.
''kusoma''
''Unasoma?''
''Nasoma kaka''
''zaidi ya kusoma shule mnafundishwa nini kingine?''

''Mh!'' niliguna kwanza nilijua swali la mjomba lina maana halikutokea vivi hivi tu''
kaka kwa nini umeniuliza hvyo? nilimuuliza na mimi si unawajua Watanzania swaali linajibiwa kwa swali!?''.

''wewe unauwezo wa kuniuliza bila kunijibu? kaka alikuja juu nilimwangalia kaka kwa macho yatofauti na siku nyingine, alitisha sana siku hyo' 'tunafundishwa masomotu''nilimwambia kaka

''Mnafundishwa masomo tu?''
''Ndiyo kaka''sasa mbona wewe unajua mabo namengine? kaka aliniambia huku badomacho ameyakaza kwangu''
'' yapi hayo mengineyo ninayoyajuakaka? ''nilimuuliza huku nikijiangalia nilivyo''''Jiangalie sana nakwambia tenajiangalia ''alisema kaka akiondokazake kwenda chumbani kwake..
.............................ITAENDELEA NEXT EPISODE............

Je unajua kwa nini kaka Peter alimuuliza hvyo mdogo wake Josephine? usibanduke hapa.
 
Itaendelea lini mkuu,kila siku ya Alhamis au?Maana nilitaka niseti alarm,
 
Hana lolote huyu,mara kaka mara mjomba, ukanjanja tu huu,achana naye anataka kutuhadaa na story yake ambayo inonyesha utovu wa nidhamu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom