Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,466
- 11,361
umenichekesha sana mkuu nimekumbuka Kuna movie jamaa wa kizungu yupo jangwan kwenye oparation akawa anawauliza hivi nyie waarabu kwanini mnang'ag'ania kukaa sehemu mbaya Kama hii jangwani hakuna radha yoyote?Hivi ilikuaje Mungu akawachagulia waisraeil nchi ya ajabu kiasi hicho,nchi imezungukwa na jangwa na majini
Jamaa likajibu we unadhani hatupendi ukijani ee miti,maua,mito,uoto mzuri na upepo saafi?
Wewe unaona hili eneo baya ee unadhani hapo hapo chini ulipokanyaga pana Nini?
Jamaa akajibu sijui
Likacheka kitajiri halafu likamjibu we mjinga tuhame jangwa lenye utajiri mkubwa Kama hili kwani unadhani tunakaa bure hapa Kuna mzigo mzito alaaa
😂😂😂😂😂😂😂