hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,395
- 80,370
View: https://youtube.com/shorts/yoSeMJk6VNM?si=z86ywrsPLxAg7kpH
US Secretary of State Marco Rubio anasema Ayatollah Ali Khomen akitaka kuonana na Trump hata kesho Trump yupo tayari kukutana naye na kukutana naye sio kwamba Trump anakubaliana naye lakini ni njia nzuri ya kumaliza matatizo.
Swali langu kama anajua hivyo mbona anamtisha kwa kuleta Carriers alidhani Ayatollah Ali Khomen ni muoga anaogopa hahaha 😆
Jamaa wanahaha Sana 🤣🤣