Ayapambaniaye maisha yake atayaangamiza!

Ayapambaniaye maisha yake atayaangamiza!

Hata Sina kinyongo

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
118
Reaction score
280
Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA.

Wajuvi, kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
 
Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA.

Wajuvi,kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
Ukimsikiliza huyu unabidi uwe na akili zako za kuchambua mchele na mawe la sivyo utapotea.
 
hapohapo anakuambia korona ni vita kama vita nyingine. so weird this man. ni vita gani inapiganwa bila mapambano?
 
Katupia dongo lake!..kumbe mseveni ankula sahani mbili😂😂😂😂
 
Tusivae condom,tusifunge mikanda kwenye magari,tusinawe kabla ya kula l,tusitumie vyandarua nk maana hizi zote ni mbinu za kupambania maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapohapo anakuambia korona ni vita kama vita nyingine. so weird this man. ni vita gani inapiganwa bila mapambano?

We ni mjinga kabisa yaani huoni mapambano wakati watu wamejifungia siku 14, kuna mtu unajifungia bila kuogopa pambano? Nambie ni nani anaweza kujifungia bila kuogopa pambano la kitu? Hata waliofunga mipaka wanaogopa mapambano.
 
Back
Top Bottom