Ayaaaaaahhhhhhhhhhh!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

ni kama ameambiwa tulia hapa nifanye mambo yangu.......................................
 
Huu ni unyama wa aina yake. Sitaki hata kuangalia mara mbili.
 
na usikute ndio amefikahapo majaliwa yake kwa ustawi wa jamii....miminaishi uswahilini naona jinsi watoto wadogo wanavyotelekeza watoto wenzao
 
kuna yeyote anayemfahamu mzazi wa mtoto huyu?? (nataka nipitishe petition ya kutokuwa na imani naye)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…