Ile nyimbo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ya Ay ft Sean Kingston hatimae imetoka ukitaka kuisikiliza icheki hapa kwenye hii link na utoe maoni yako http://m.youtube.com/watch?featurewatch?feature=youtu.be&v=C387zRQEAH0
weka link tu download tuipime, alienda marekani akafanya upuuzi tu.
unasema unataka aweke muipime ukimaanisha hujaiona lakini papo hapo unasema amekwenda marekani kufanya upuuzi!
Mkuu data una tatizo jaribu kusoma comment yako vizuri hivi kweli kwa comment hii baadae hata ukitoa maoni yako yataeleweka?