AY - EL CHAPO (Official Video)

nilivyo ona hilo jina el chapo nikajua nitakutana na mambo ya drugs, mapesa n.k.

afu humo nimenusa harufu ya u jay moo mambo ya pesa madafu.

afu hawa jamaa wanaodai kuimba hippop wanasubiriana kwanza kujua mwenzake atatoa wimbo gani? juzi fid q leo AY kesho? au mambo ya kill Awards yanakaribia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…