AY anusurika kifo, aokolewa na polisi, alala sero!

AY anusurika kifo, aokolewa na polisi, alala sero!

Huyo ndio mzee wa commercial a.k.a Kimario. Kama mtu humjui kuhusu mambo ya ankara rudi sikiliza kibao chake cha habari ndio hiyo utamuelewa anaposema''...weka mkwanja mezani ndipo nichane kisha niwabane...''
 
Nampa pole AY kwa mkasa uliompata.Hao walinzi hata kama anao,sidhani kama wangesaidia,mashabiki wanakwenda kucheck show wanakuwa zaidi ya mmoja..sidhani hao walinzi kama wangeweza kuwadhibiti...
 
jamani huyu ni Dina yupi? wa clouds FM au mwingine?


Siyo dina wa clouds ni dina wa kampuni ya dina fashion mama hivi mnene yahani ni jimama haswa lakini siyo wa Clouds.

na taarifa nilizopata hivi sasa ni kuwa ilikuwa ni mara yake ya kwanza kwa mama huyu kufanya tamasha hilo katika mkoa wa kagera.
 
Kama mwandaaji hajamlipa angeendaje kwenye jukwaa? Automatically mwaandaji ni wa kulaumiwa. Kwanza mashabiki nao uchwara tu watajamiaji mtu ambaye hajatoa tangazo wala kukusanya kiingilio. Waadabishwe.
 
Back
Top Bottom