Awesome Results: Ndanda Secondary School

Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
672
Imma Grateful for such Results
Brilliant Schools.. Ndanda High School

Great Pongezi kwa Mr HeadMaster et al.

They made it Great
Mwanao akiwa hapo... Usijutie
 
Attachments

  • Screenshot_20180715-114325.png
    Screenshot_20180715-114325.png
    95.8 KB · Views: 72
Pale wanafunzi zima wasome sana,hakuna kulala,kuna kunguni wa kufa mtu.
 
DUH....!!!!!
nilikuwa hapo 2011 had 2013 ila kwa haya matokeo MUNGATE apewe pongezi..!!!
 
Itakua unamfaham vizuri mwl.nziku na mkalawile

Mkalawile ndio 'ticha' alikuwa always anatendea haki mbavu coz lazima ucheke tu kwa vioja vyake,kama sijachanganya madesa.kulikuwa na kipindi kitu cha 'pumbu erosion' kilitikisa mitaa ile.Siku zinakimbia sana.Almost 8 years now.Live long NDABO
 
Hahaha pumbu erosion asee umenikumbusha mbali sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom