Aweso: Bili ya maji inayokuja iwe na uhalisia, watu hawakupata maji

Aweso: Bili ya maji inayokuja iwe na uhalisia, watu hawakupata maji

Bill si zinakuja kutegemeana na matumizi? Au huwa wawanakisia? Kama ana mpango wa kutoa msamaha kwa usumbufu aseme hivyo
 
100%

Ila Mh Aweso naomba kwa daressalama muongeze wafanyakazi

Mnaweza kufikiria kuajiri VIJANA ambao watatufanya sisi wakazi wa Daressalam kupata huduma kwa wakati

Asante.
 
Kumbe mwenzetu unaishi kwenye geti kubwa na bomba la maji ndani kabisa
Haya bana sisi tunapambana na vidumu
 
Kumbe mwenzetu unaishi kwenye geti kubwa na bomba la maji ndani kabisa
Haya bana sisi tunapambana na vidumu

Ahaaaa

Sema aongeze wafanyakazi huduma ziwe kubwa

Kuna wakati unapata tatizo Kama leakage Ila kuweka sawa inatumia hata two days

Mh Awezo ajiri vijana
 
Back
Top Bottom