Mkuu naomba namba zao hao nacteKupata AVN kupitia NACTE ni ishu aiseee, na simu hawapokei.
Nenda pale Nacte system zao bado mbovu ukienda ofisini wanaku update then wanakutumia control number unalipia wanakutumia taarifa, pia naona hii ku verify Nacte wizi mtupu kwanini mtu ukiomba chuo wasiwe na database mtu aki click information apate matokeoKupata AVN kupitia NACTE ni ishu aiseee, na simu hawapokei.
Acha kabisa mkuu, na utaalamu wote wa haya mambo ila ile siku nilichemka.Nenda pale Nacte system zao bado mbovu ukienda ofisini wanaku update then wanakutumia control number unalipia wanakutumia taarifa, pia naona hii ku verify Nacte wizi mtupu kwanini mtu ukiomba chuo wasiwe na database mtu aki click information apate matokeo
Acha kabisa mkuu, na utaalamu wote wa haya mambo ila ile siku nilichemka.
Nikasema isiwe shida, ngoja tu niachane nao.
Bahati nzuri nikafanikiwa kuapply pasipo hiyo AVN.
Sidhani kama ni sahihi kuongea mambo ambayo usiyoyajua. Kama una Diploma kaapply TIA au hata CBE uone kama itagoma.Acha uongo, kwa mtu wa diploma huwezi kuapply chuo pasi kuwa na AVN.. Kama umetokea vidato hapo sawa
Hii inchi bora Hawa CCM tusiwape kura.. Maana wizi njenje kila mahali, sasa hii 10,000 tunayolipia ni ya kazi gani.. Yaan index number yangu ya mtihani nilipie hali ya kuwa nimefanya gharama za kujisomesha hadi napata Award yangu..Acha kabisa mkuu, na utaalamu wote wa haya mambo ila ile siku nilichemka.
Nikasema isiwe shida, ngoja tu niachane nao.
Bahati nzuri nikafanikiwa kuapply pasipo hiyo AVN.
Kwahiyo unataka kunambia hii AVN inahitajika baadhi ya vyuo tu..?Sidhani kama ni sahihi kuongea mambo ambayo usiyoyajua. Kama una Diploma kaapply TIA au hata CBE uone kama itagoma.
Usipende kumuita mtu muongo kama hujawahi kufanya hizi Application.
Hivi kupata AVN unalipia pia?Hii inchi bora Hawa CCM tusiwape kura.. Maana wizi njenje kila mahali, sasa hii 10,000 tunayolipia ni ya kazi gani.. Yaan index number yangu ya mtihani nilipie hali ya kuwa nimefanya gharama za kujisomesha hadi napata Award yangu..
Yaan hawa nacte ni WASENGE kinoumah, tena bora hadi AVN yenyewe ingekuwa inapatikana kirahisi ila iko very complicated.
Wanaboa sana, yaan wanatengeneza mambo ili mradi wapate hela, kwani miaka ya nyuma waliokuwa wanatokea diploma walikuwa wanaombaje na naamini haya mambo ya AVN hayakuwepo
Ndio sh 10,000 labda wabadili mwaka huu Ila miaka iko hvyoHivi kupata AVN unalipia pia?
Nacte contactsView attachment 1577986
Ndio sh 10,000 labda wabadili mwaka huu Ila miaka iko hvyo
Ni mwaka huu aua miaka ilizyopita..?kuna baadhi walipata bure hawakulipa hata senti