Mambo ya mke yametoka wapi hapa, unaona jinsi gani hujielewi?Yaaaan wewe ndio mpumbavu tena kama una familia duh huyo mkeo ana kazi sana aisee,,,,maaan haujielewi yaaan huna unalolielewa. Pumbavu kabisaa
Wewe ni mpumbavu mwandamizi. HUJITAMBUI.
Mambo ya mke yametoka wapi hapa, unaona jinsi gani hujielewi?Yaaaan wewe ndio mpumbavu tena kama una familia duh huyo mkeo ana kazi sana aisee,,,,maaan haujielewi yaaan huna unalolielewa. Pumbavu kabisaa
HUJITAMBUI.
Chukua LIKE.Sawa boss.
Chukua LIKE.
HatariHaya tena imerushwa mpaka 29/October/2021
View attachment 1986829
Isije ikawa Kama awamu ya pili tunasogezewa tarehe mbele kumbe wengine wameshapataHaya tena imerushwa mpaka 29/October/2021
View attachment 1986829
Awamu ya pili imeshatok cku nying n jana imetok awamu ya tatu so tar 29 wanasubir awamu ya nneIsije ikawa Kama awamu ya pili tunasogezewa tarehe mbele kumbe wengine wameshapata
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Awamu ya pili imeshatok cku nying n jana imetok awamu ya tatu so tar 29 wanasubir awamu ya nne
Jana mbona hawakutoa kitu...au niko out of date jameni? hata kwenye link ya news zao hakuna paleAwamu ya pili imeshatok cku nying n jana imetok awamu ya tatu so tar 29 wanasubir awamu ya nne
Hpn link sina ila nadhn hawajatoa Pdf ila ukiingia kwny account yako watakwambia umepata au kam bado wanakwambia subir tar fulanUnayo link ya majina wa awamu wa pili..?
Kwny news wanachelew kuwek san ila jan wengn walipata na wngn watasubir batch 4 amby n tar 29Jana mbona hawakutoa kitu...au niko out of date jameni? hata kwenye link ya news zao hakuna pale
duh..walitoa saa ngap na ni wangap waliwapa?Kwny news wanachelew kuwek san ila jan wengn walipata na wngn watasubir batch 4 amby n tar 29
12,000duh..walitoa saa ngap na ni wangap waliwapa?
Kwani vigezo vya kupewa mkopo ni vipi?angalia ata background za shule alizosoma yani uko O level na advance Kama ni za governmentHivi inakuaje mtu ana 1.5 tena ya masomo ya sayansi Maths A Phy B, Geo B anakosa mkopo! chuo amechaguliwa Udsm