Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

Yaaaan wewe ndio mpumbavu tena kama una familia duh huyo mkeo ana kazi sana aisee,,,,maaan haujielewi yaaan huna unalolielewa. Pumbavu kabisaa
Mambo ya mke yametoka wapi hapa, unaona jinsi gani hujielewi?
Wewe ni mpumbavu mwandamizi. HUJITAMBUI.
 
Dah! Nimeshangaa sana!!
Haya tena imerushwa mpaka 29/October/2021
IMG_20211025_222046.jpg
 
Hivi inakuaje mtu ana 1.5 tena ya masomo ya sayansi Maths A Phy B, Geo B anakosa mkopo! chuo amechaguliwa Udsm
 
Hivi inakuaje mtu ana 1.5 tena ya masomo ya sayansi Maths A Phy B, Geo B anakosa mkopo! chuo amechaguliwa Udsm
Kwani vigezo vya kupewa mkopo ni vipi?angalia ata background za shule alizosoma yani uko O level na advance Kama ni za government


Kama amesoma shule za serikali na hajapewa mkopo apo 2jiulize Ila huwa wanapewa kipaumbele
 
Back
Top Bottom