Awamu ya nne itakumbukwa daima!

Awamu ya nne itakumbukwa daima!

kisugujira

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
774
Reaction score
200
WanaJF,

Ni nani anayebisha kuwa serikali ya awamu ya nne tayari imeishavunja rekodi na kujiwekea historia itakayodumu karne na karne kwa kuleta madiliko makubwa katika maisha ya kila siku ya mtanzania? Sasa hivi kuna tabaka kubwa kati ya waliyonacho na wasiyo nacho ukilinganisha na awamu zilizopita!

Waliyonacho wanatibiwa ughaibuni na wasiyo nacho wanatibiwa katika zahanati au hospitali chache zilizojengwa hapa nchini ambazo zimekithiri rushwa na wakati mwingine kukosa kabisa dawa zinazohitajika! Awamu hii ya nne itakumbukwa kwa kuijali elimu inayotolewa kwa watoto wa wakulima na wafanyakazi masikini ambao hawana uwezo wa kuwasomesha watoto wao katika shule za walionacho ambazo ada yake ni gharama sana!

Awamu hii ya nne itakumbukwa daima kwa kulipandisha hadhi daraja 0 kuwa daraja la 5 katika matokeo ya kidato cha nne hapa nchini!

Je wewe unafikiri ni vitu gani vingine vitakavyoifanya awamu hii ya nne ikumbukwe daima?
 
Anologia kwenda digital, imejenga shule nyingi sn zisizo na wàalim. M naipongeza serikali hii mana imeonesha CREATIVITY ya kutosha
 
"wapingwe tu" by pinda hii kitu itakumbukwa daima bila kusahau ile "siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa" by nkamia au ile ya "meli ni yangu ila meno ya tembo sio yangu" by kinana
 
Ule muujuza wa masogange kupitisha kg150 za unga yaan ni sawa na mifuko 3 ya cement ktk Uwanja wa ndege wa kimataifa huku wana usalama na mbwa wao wakiwa around!
Kazi nzuri kwa awamu ya 4
 
Ule muujuza wa masogange kupitisha kg150 za unga yaan ni sawa na mifuko 3 ya cement ktk Uwanja wa ndege wa kimataifa huku wana usalama na mbwa wao wakiwa around!
Kazi nzuri kwa awamu ya 4

Masogange yupo uraiani anaendelea kuliwa na kula bata!
 
Anologia kwenda digital, imejenga shule nyingi sn zisizo na wàalim. M naipongeza serikali hii mana imeonesha CREATIVITY ya kutosha

Shule nyingi za kata zilizojengwa zinadumisha ukabila na zimejengwa na makandarasi wasomi wengi wao wakiwa wanaelimu ya juu kabisa katika ukandarasi ya darasa la saba na hivyo kuyafanya majengo yaliyojengwa kutokuwa imara wakati gharama iliyotumika ni kubwa ukilinganisha na ubora uliokusudiwa!
 
- Ziara za nje ya nchi za Rais JK kuliko marais wote!

- Sirikali dhaifu kuliko zote.

- Awamu inayojiendesha yenyewe!

_nk.
 
Ikumbukwe daima.baba riz amkomboa drug dealer riz.
historia mpya ya Tanzania ni muungano wa pemba na zimbabwe na ipo kwenye geographical 'cost'
 
1.Msamaha kwa wezi wa EPA kabla ya kuhukumiwa na mahakama.

2. Kung'oa wananchi kucha, meno na macho.
 
tuwe tayari kuwekeza kwenye jojo na pipi bila kusahau yeboyebo na kandambili,,,GAS hatu......
 
Ule muujuza wa masogange kupitisha kg150 za unga yaan ni sawa na mifuko 3 ya cement ktk Uwanja wa ndege wa kimataifa huku wana usalama na mbwa wao wakiwa around!
Kazi nzuri kwa awamu ya 4

hahaha nimecheka mno kwakweli
 
Back
Top Bottom