JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,458
- 9,761
Muleta Uzi kuwa mkweli tu.
Kati ya watu walio kuwa karibu na JPM wasukuma walikuwa wangapi? Namaanisha watenda kazi wenzake; hasa mawaziri; Na wale wa pale Ikuru na hata viongozi wakuu wa CCM.
Ukinijibu vizuri nitakuelewa hoja yako ya ujabira.
Humondani umetaja ukabila huku ukitaja akina Sabaya na Wanyarwanda. Hao ote ni wasukuma?
Maoni yangu;
Kila zama na wakati wake. Hayati alifanya kazi yake kwa nguvu na akili zake kwa hari ya juu Sana katika taifa hili kuliko kiongozi yoyote. Kwa Hilo tu naomba apewe heshima yake.
Mapungufu yake ni Pamoja na kuwatengua wanasiasa wakongwe walio zoea kula kwenye siasa huku wakiwa hawatimizi wajibu wao vizuri. Sambamba na Hilo aliwateuwa vijana na Watu wengine wengi wasio kuwa Wana siasa na kuwaingiza kwenye kazi zilizo kuwa za wanasiasa wakongwe. Kitendo hiki kiliwachukiza Sana wakongwe. Na waliona kama wametengwa. Wengine walidiliki kulia kwamba wameipambania hii nchi.
Ndio maana sasa hivi wanasema CCM inawenyewe na wageni hawana Chao.
JPM alihakokisha nafasi za uwaziri zinagawiwa Kila mkoa; Kila mkoa unakuwa na mwakirishi kwenye baraza la mawaziri. Huo ni ukabila?
Pale Ikulu Msukuma alikuwa yeye na Dotto James tu. Wengine wote ni kabila tofuati.
Fanyeni kazi kwa kiwango ili mzidi kete yake.
Hayati atawasumbua Sana. Akiwa mazima na kiwa kaoza.
kimsboy