Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

Muleta Uzi kuwa mkweli tu.

Kati ya watu walio kuwa karibu na JPM wasukuma walikuwa wangapi? Namaanisha watenda kazi wenzake; hasa mawaziri; Na wale wa pale Ikuru na hata viongozi wakuu wa CCM.

Ukinijibu vizuri nitakuelewa hoja yako ya ujabira.

Humondani umetaja ukabila huku ukitaja akina Sabaya na Wanyarwanda. Hao ote ni wasukuma?

Maoni yangu;

Kila zama na wakati wake. Hayati alifanya kazi yake kwa nguvu na akili zake kwa hari ya juu Sana katika taifa hili kuliko kiongozi yoyote. Kwa Hilo tu naomba apewe heshima yake.
Mapungufu yake ni Pamoja na kuwatengua wanasiasa wakongwe walio zoea kula kwenye siasa huku wakiwa hawatimizi wajibu wao vizuri. Sambamba na Hilo aliwateuwa vijana na Watu wengine wengi wasio kuwa Wana siasa na kuwaingiza kwenye kazi zilizo kuwa za wanasiasa wakongwe. Kitendo hiki kiliwachukiza Sana wakongwe. Na waliona kama wametengwa. Wengine walidiliki kulia kwamba wameipambania hii nchi.

Ndio maana sasa hivi wanasema CCM inawenyewe na wageni hawana Chao.

JPM alihakokisha nafasi za uwaziri zinagawiwa Kila mkoa; Kila mkoa unakuwa na mwakirishi kwenye baraza la mawaziri. Huo ni ukabila?
Pale Ikulu Msukuma alikuwa yeye na Dotto James tu. Wengine wote ni kabila tofuati.
Fanyeni kazi kwa kiwango ili mzidi kete yake.

Hayati atawasumbua Sana. Akiwa mazima na kiwa kaoza.
kimsboy
 
Alijitoa kwa maslahi yake binafsi huku akidai anapgania watanzania. Mkabila na mbaguzi yule
Wewe ndo mkabila haswa! Ulitaka asiwaweke kabila analotoka ili iweje? Vipi Magufuli hayupo vipi kabila lake hawapo serkalini? Nyie mataahira hamna la maana mtaimba pambio zote lakini Magufuli sio level yenu!
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Bila Shaka mafisadi mmefurahi Sana, ni wakati wenu wa kula Bata, hata hivyo muombe Mungu Majaliwa asishike nchi 2025, mtalimia meno kudadeki

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Sidhani Kama Kuna anaemzidi Magufuli kwa ufisadi. Imagine kufurushwa cag aliyehoji upotevu wa fedha za umma!
 
Sgr Chato
Stiglers dam Chato
Msalato airport Chato
Mji WA serikali Chato
Ring road Bora EA Chato
Vituo vya afya vyote Chato
Kijazi interchange Chato
Brt phase 2 Chato
Ndege zote zipo Chato

Hii miradi yote ipo Chato na inatumiwa na wana Chato tu
Usitake kututoa kwenye reli. Miradi uliyotaja ipo maeneo tofautitofauti ya nchi. Ni tofauti na miradi lukuki iliyoelekezwa chato kwa upendeleo wa ajabu. Ktk Marais sita waliowahi kutuongoza yule magufuli alikuwa mbaya sana
 
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
👌
 
Magufuli alikuwa mwizi mbabe
Anaweza kweli kuwa mbabe hilo la wizi hapana,kipindi chake nchi ilipata maendeleo ya ghafla kiasi kwamba maadui zake wanaona aliijenga chato kumbe magu aliijenga tz kwa ujumla wake,nenda mtwara,mbeya, simiyu,dodoma kote huko lzm utaona nyayo zake,kwa muda mfupi aliiweka nchi ktk mstari,nidhamu kazini,kukomesha ujambazi,nk. ingawa kuendesha nchi Jambo zito sana lkn aliweza sana,ukimlinganisha na mtangulizi wake.
 
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama

Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene

Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu

Imagine Kila project inaenda kijijini Chato

Imagine kila kizuri ni chato

Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu

Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto

Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi

Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana

Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee

Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali

Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!

Update kutoka kwa mdau

Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) Alikua mkabila sana

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu

Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili

Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu

Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia

Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.

Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake

Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana

Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.

Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.

Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.
Hiki kijamaa kila kikilala kikiamka kinawaza Magu!!!..?
itakuwa kilipigwa na kitu kizito nyuma
 
Mimi kakiongezea nyama kitabu changu cha ujasiriamali, kwamba kumbe hata kama unamtaji na elimu ya ujasiriamali, ndoto zako za kufanikiwa kwenye biashara zinaweza kuzimwa kwa sera zinazo badilikabadilika na ambazo hazina tija (uncertainty policies ),pia wale tuliodhani wana uwezo mzuri wa kufikiri wakaacha kutumia akili zao kwa muda, kwasababu ya unyumbu(Herding behaviour). Herding behaviour is an coccurence of thoughtfull people suspending their reasoning, because of fear, in this case fearing their leaders (kujitoa ufahamu)
 
Usitake kututoa kwenye reli. Miradi uliyotaja ipo maeneo tofautitofauti ya nchi. Ni tofauti na miradi lukuki iliyoelekezwa chato kwa upendeleo wa ajabu. Ktk Marais sita waliowahi kutuongoza yule magufuli alikuwa mbaya sana
Mradi gani wa maana uliopo chato sehemu zingine haupo?
 
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.

(1)alitaka kutengeneza sukuma empire

(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.

(6) aliwatukana wazungu adharani

(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.

Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Naupenda huu usemi wa kimombo: We learn through our mistakes and other people's mistakes
 
Let bygones be bygones...tuendelee kutafuta maisha hayo yashapita.
 
Back
Top Bottom